Kiwanja zaidi ya ekari 25 chanika, mvuti kinauzwa

Sarah Parker

Member
Jul 15, 2011
5
0
Kiwanja hiki kina bonde kubwa pamoja na ardhi tambarare ya kutosha؛eneo hili lafaa kwa kilimo au kiwanda hata makazi pia؛
kwa yeyote atakaye hitaji anaweza kuni pm tukaelewana zaidi؛
 
Tatizo ya haya mashamba unanunua nillioni 50 kesho yake serikali wanalichukua lote wanakulipa laki 8,wanakuambia eneo la mradi.
 
Back
Top Bottom