Kiwanja na nyumba vinauzwa - Gongolamboto!

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
Wakuu,

Kiwanja kinauzwa hekari Moja 70x70 - kina hati kamili. Kipo Gongolamboto - Bei Maelewano.

Ndani ya eleo hili kuna nyumba ya vyumba 4 self contained, fanya haraka.
 
Yale yaleeeee..............acheni utani kwenye maafa makubwa km haya............nyie ni sawa na wale jamaa ambao kukitokea ajali wao wanakuwa watu wa kusachi majeruhi!.....tupunguze utani kwenye mambo serioui
 
mzee kama hutaki kiwanja wenzako watakichukua - sasa kama mtu kaamua kuihama nchi sasa huo utani wewe umeuona wapi?
 
Tupe bei halisi. Mabomu kote yapohata lugalo yatalipuka it is a matter of time. Utahamia wapi ambako hakuna kambi za jeshi.
 
Kipo Gongolamboto - Bei Maelewano.

Chakuelewana mbona sikioni mzee...... Au mnunuzi ndo mtoa offer? Au maelewano na bei husika inabidi kuuliza via PM? Lete bei hapa, maana bei pia italeta hoja za swala zima la bei za viwanja/nyumba Dsm na Tanzania kiujumla - ambalo kwasasa naona liko seriously complicated......
 
Hicho Kiwanja ndicho JK ameenda kukitembelea? Competition kali
 
Wakuu,

Kiwanja kinauzwa hekari Moja 70x70 - kina hati kamili. Kipo Gongolamboto - Bei Maelewano.

Ndani ya eleo hili kuna nyumba ya vyumba 4 self contained, fanya haraka.

nipe uelekeo gongo la mboto kubwa mkuu sema sehemu kilipo na umbali kutoka barabara kuu..........kama inawezekana nitumie bei kwenye sms au ukiwa free weka ubaoni pia picha la jengo lenyewe
 
Chakuelewana mbona sikioni mzee...... Au mnunuzi ndo mtoa offer? Au maelewano na bei husika inabidi kuuliza via PM? Lete bei hapa, maana bei pia italeta hoja za swala zima la bei za viwanja/nyumba Dsm na Tanzania kiujumla - ambalo kwasasa naona liko seriously complicated......
Mkuu hapo yaani umenena, kiwanja hicho usishangae kikakizidi kile cha mamtoni ambacho kipo mbali kabisa na kambi za jeshi. Mtu anagoogle bei za viwanja mamtoni ndio anaona ni sawa na kwetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom