Kiwanja Mwanza

Freetown

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
883
73
Jamani naomba msaada kwa wale wanaijua Mwanza natafuta kiwanja Mwanza mjini ni sehemu gani poa, na unaweza kuilinganisha na wapi kwa Dar au Arusha?
Asante kwa watakao kuwa tayari kuchangia
Natanguliza shukran
 
Haujasema kiwanja ni kwa ajil ya nn! uzuri wa asehemu inategemea na mahitaji yako. mwanza bado ni mji mdogo sana, lakini ndiyo mji unaokuwa kwa haraka kuliko mji wowote africa!

kama unahitaji kujenga jengo la kitega uchumi, na una pesa ya uhakika kuanzia mil300 kwa ajili ya kiwanja unaweza kujaribu pamba road kuna watu wana vijumba vya ajabu ukifika bei unaweza kuachiwa, Rufiji ni mitaa ya makazi lakini majengo mengi ya biashara yanaelekea huko, kuna nyumba za waswahili, waarabu na wasomali-ni sehemu nzuri pia, kwa kifupi maeneo yapo mengi mazuri along Musoma road, shinyaga road au airport road.
Kama unataka makazi inategemea na mfuko wako pia. kuna Kapri Point ambapo unaweza kupata kiwanja cha ziwani, upasue miamba na kuweka mawe majini ili upate level inakukosti hata mil70 kurekebisha kiwanja tu, achilia mbali umekinunua sh.ngapi, huku siwezi kupalinganisha na sehemu yoyote Dar, ila ni sehemu NZURI SANA kwa makazi, huku wamejenga wengi wenye fweza za kutosha pamoja na makampuni na mabenki hasa NBC wana nyumba kadhaa za kupangisha.Igoma ni pazuri pia kwa makazi, pametulia wanakaa ailimia kubwa ya wanene, nyegezi carlifornia ni kwa watu moderate, na kiwanja utapata kwa bei nzuri kidogo, sawa na buhongwa, kama unajenga hoteli nakushauri uende malimbe upate kiwanja cha ziwani.
Kuna wenyeji wengi wa mwanza humu nadhani watakusaidia, hasa ukiweka heading ya kuwavutia kuoma post yako.
 
Nakushuru sana, kwa kuanzia nataka kiwanja cha makazi, kuna mtu kaniambia ana kiwanja Nyakato je ni kuzuri huko, na pia inaonekana wewe ni mzouefu au ni mwenyeji wa Mwanza nita ku PM tuongee kwa simu
 
Nyakato kama nyakato ni kubwa sana, ni nyakato ippi? Pia ni vizuri kama ungepata muda ukatembelea kabla haujaamua kununua kiwanja sehemu, au kama huyo jamaa mnafahamiana vizuri anaweza akawa anafahamu intresti zako.
 
Jaribu Nyasaka ni sehemu inayokuwa kwa kasi vilevile, upepo mwanana miti ya miembe yenye kivuli kizuri
 
kapripoint, isamilo kote kumejaa msimdanganye, ,kuna kiwanja ILEMELA kinauzwa m 12. heka moja na nyumba some kind of steep slop si unajua mwanza tena, unaliface ziwa na upepo wake, kizuri sana kwa mtu mwenye fedha.. ila unaweza pata igoma, nyasaka mkolani,,.
 
kumbuka kapripoint kuna ushashini na uzunguni, ushashini wanadili sana na mambo ya kutaili so kaz kwake, uzunguni kumejaa...karibu kwetu mabatini uchawini uswailini ujiunge na tuliokulia milimani.
 
Ama! Kapri point si ndio kule kwenye kale kakisiwa au ? Au unadhania mdau ni MWEKEZAJI nini... :D

teh teh! hapana muzee, kwenye kakisiwa ka utalii ni SAANANE. KAPRI ni sehemu nzuri sana kwa makazi, hasa kam una pesa za kupasulia mawe, kuna watu wametengeneza mpaka barabara ya nusu km zege tupu kwenda kwake tu, pata picha lazima uwe na PESA.
 
kapripoint, isamilo kote kumejaa msimdanganye, ,kuna kiwanja ILEMELA kinauzwa m 12. heka moja na nyumba some kind of steep slop si unajua mwanza tena, unaliface ziwa na upepo wake, kizuri sana kwa mtu mwenye fedha.. ila unaweza pata igoma, nyasaka mkolani,,.

Hakuna sehemu inayojaa, hata kariakoo hakujajaa, toa pesa vunja nyumba, jenga JUMBA, KAPRI kuna viwanja kibao vimezungushiwa fensi mika kadhaa havijajengwa (ila utashangaa unanunua mawe au kiwanja! teh teh)
 
teh teh! hapana muzee, kwenye kakisiwa ka utalii ni SAANANE. KAPRI ni sehemu nzuri sana kwa makazi, hasa kam una pesa za kupasulia mawe, kuna watu wametengeneza mpaka barabara ya nusu km zege tupu kwenda kwake tu, pata picha lazima uwe na PESA.

Sawa kiongozi nimekufahamu. Sie wengine Mwanza tumepita tu kwa dakika chache on transit.
 
Hakuna sehemu inayojaa, hata kariakoo hakujajaa, toa pesa vunja nyumba, jenga JUMBA, KAPRI kuna viwanja kibao vimezungushiwa fensi mika kadhaa havijajengwa (ila utashangaa unanunua mawe au kiwanja! teh teh)

Maneno yako ni sahihi kabisa, asante sana
 
teh teh! hapana muzee, kwenye kakisiwa ka utalii ni SAANANE. KAPRI ni sehemu nzuri sana kwa makazi, hasa kam una pesa za kupasulia mawe, kuna watu wametengeneza mpaka barabara ya nusu km zege tupu kwenda kwake tu, pata picha lazima uwe na PESA.

Angalau kwa anayefahamu, atoe range ya bei ya viwanja maeneo hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom