Kiwanja Kisukuru Kinahitajika.

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Vp jamani wana jf mwenye maelezo atiririke bac au co.
Size.
Bei. nk
 
Nauza kiwanja changu.

Wapi?
Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Kimara mwisho.
Ukubwa? mita 28 kwa 26
Bei?
milioni 15
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Barabara ipo mpaka kiwanjani
. Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
. Usafiri wa daladala upo
. Ni karibu sana sana na barabara kubwa
. Hakuna dalali
Mawasiliano? 0782 230159
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom