Kiwanja kinauzwa.

Beauty

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
540
23
Kipo madale maendeleo,kipo karibu na shule ya sekondari maendeleo ukubwa 30x30 bei Ml.6,500,000 hakijapimwa ni cha uhakika, serious buyers only wasiliana no 0713069631

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ndugu elekeza kidogo madale ni upande gani wa dar au ni mkoa gani kuna majina ya maeneo yanajirudia ndani ya mkoa mmoja
 
hahaha. unaweza uziwa eneo la bomoabomboa hahaha, nilikuwa nashangaa bei yake kuwa ndogo kiasi hicho..mil. 6..hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom