Kiwanja Kinauzwa

Nov 17, 2011
62
13
  • Wapi? Kigamboni (km 13 kutoka feri) Unavuka kibada
  • Kwenye mradi? Hapana. Hili nieneo lililo nje ya mradi wa mji mpya
  • Ukubwa? Miguu 20 upana, na miguu 45 urefu
  • Kimeendelezwa? Kina banda zuri lililofikia stage ya lenta (Banda lina Chumba, sitting, choo na jiko) - Halina muda mrefu. Pia kuna karo dogo la kutunzia maji.
  • Kinafikika? Ndio gari mpaka kwenye kiwanja chako. Na ni hatua chache kutoka barabara iendayo dar es salaam zoo
  • Hati? Hakina but ukinunua unapewa hati ya kijiji toka serikali ya mtaa
  • Maji na Umeme? Umeme ndo nguzo zinawekwa, maji yapo mengi
  • Shilingi ngapi? Shilingi 4,000,000 tuu. Bila stori
    • Kama unakihitaji ni- PM (Kwa aliye serious tuu)
 
kama wanaotangaza bidhaa zao wote humu jf wangekua na upeo mkubwa wa kutangaza namna hii, hakika tungefika mbali sana,, nikupongeze kwa kutangaza biashara yako vizuri sana, japo sio mnunuzi kwakua sina pesa, ila nimependa sana language yako ya kibiashara,, hakika ningekua na pesa, ningenunua kiwanja hicho, well done great thinker!
 
  • Wapi? Kigamboni (km 13 kutoka feri) Unavuka kibada
  • Kwenye mradi? Hapana. Hili nieneo lililo nje ya mradi wa mji mpya
  • Ukubwa? Miguu 20 upana, na miguu 45 urefu
  • Kimeendelezwa? Kina banda zuri lililofikia stage ya lenta (Banda lina Chumba, sitting, choo na jiko) - Halina muda mrefu. Pia kuna karo dogo la kutunzia maji.
  • Kinafikika? Ndio gari mpaka kwenye kiwanja chako. Na ni hatua chache kutoka barabara iendayo dar es salaam zoo
  • Hati? Hakina but ukinunua unapewa hati ya kijiji toka serikali ya mtaa
  • Maji na Umeme? Umeme ndo nguzo zinawekwa, maji yapo mengi
  • Shilingi ngapi? Shilingi 4,000,000 tuu. Bila stori
    • Kama unakihitaji ni- PM (Kwa aliye serious tuu)

mi si mnunuzi ila nimependa style yako dada yangu. Hii imedhirisha unaijua kazi yako na mahtaji ya wateja wako. Hongera mleu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom