kiwanja kinauzwa

gozo

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
458
85
habari wakuu..

Kiwanja kina ukubwa wa nusu eka 70*35 kinauzwa mil 8 kipo maeneo ya kiluvya kwa komba ni jirani kutoka barabarani(morogoro road),maji yapo,umeme upo na barabara ni nzuri mpaka kufika eneo la kiwanja..

Kwa mawasiliano piga 0715 369096
 
inashuka mkuu we nichek kwenye number hapo juu tuongee,karibu.
Nitaku-pm mkuu, maana gharama za simu toka huku ughaibuni kuja Tz ni sawa na bei ya kiwanja kwa ajili ya kodi za mafisadi.
 
Habari wakuu..

Kiwanja tajwa hapo juu(nusu eka 70*35) kimeshauzwa leo asubuhi lakini kuna kiwanja kingine hapo hapo kiluvya,kinafikika kwa urahisi,maji na umeme vipo na ukubwa wake ni 60*50 na bei ni mil 6.5

kwa mawasiliano zaidi namba ya simu chek hapo juu
 
mkuu wewe ni dalali?? nataka eka moja ntapata kwa ngapi maeneo hayo ya kibamba au kiluvya umbali kutoka morogoro road usizidi km2
 
mkuu wewe ni dalali?? nataka eka moja ntapata kwa ngapi maeneo hayo ya kibamba au kiluvya umbali kutoka morogoro road usizidi km2

hapana mimi sio dalali mkuu,eka moja unapata maeneo ya kiluvya kwa komba bei ni mil 15,karibu.
 
Hizi biashara za kutangaza na kununuliwa papo kwa papo? NIandalie nami changu nije nikione kesho nikichangamkie.
 
Mkuu mwendo wa dakika kumi kwa pikipiki haiwezi kuwa km 3 tu. Na hata kwa miguu huwezi kutembea km 3 kwa nusu saa. Ni kama km 8 hivi.
Mkuu inawezekana zikawa km 3. Kuna jamaa yangu anaishi km 3 toka barabarani na unatembea kwa dkk 15 hadi 20. Pia inategemea hali ya barabara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom