Kiwanja Kinauzwa?

wapalepale

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
259
56
samahani wa jf. namba kama kuna mtu anataarifa za kiwanja kinachouzwa maeno ya tabata segerea.. nahitaji nisaidieni
 
Tafadhali taja ukubwa unaohitaji na uwezo/bajeti yako itasaidia. ninavyo viwanja ila sina mpango wa kuviuza - ukitaja ukubwa na uwezo wako naweza shawishika kuuza.
 
Tafadhali taja ukubwa unaohitaji na uwezo/bajeti yako itasaidia. ninavyo viwanja ila sina mpango wa kuviuza - ukitaja ukubwa na uwezo wako naweza shawishika kuuza.

kama 1/2 hekt au 1hekt.. isizidi milion 12.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom