mwanaharakati2
Member
- Nov 5, 2010
- 25
- 0
Kiwanja kinauzwa, kimepimwa,kina hati na kipo katika eneo lililopimwa (moja ya maeneo ya viwanja 20,000 vya mradi, eneo zima lina viwanja 8000 vilivyopimwa) kipo eneo la Buyuni,ilala (It is located just before chanika). Kiwanja kina ukubwa wa 1800 square meters (low density), bei ni sh. 5,000 kwa sq meter, ninavyo vingine vidogo na vikubwa zaidi. If interested and you are a serious buyer pls contact the owner directly through +255713123729