Kiwanja kinauzwa sqm 2600 kipo temeke amani gomvu na kingine tabata

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Wadau viwanja vingi vilivyopimwa katika maeneo ya kigamboni , mabwepande , bunju A. na salasala
kiwanja nilichokija hapo juu. kipo amani gomvu. km 17 kutoka feri . ukifika nja panda ya mji mwema unanyoosha mpaka mwisho wa barabara ya rami tena unatembea km 2 ndipo unafika kiwaja kilipo kina sgm 2600. na vingine vingi vipo maeneo yaho tuwasiliane 0686 200117, 0778 625039. pia 0657 145555, 0755 099291.
bei ni sh 9,000 per sqm
 
nilisahau mkuu samahani . ni sh 9,000 kwa sqm , kiwanja cha chini kabisa kina sqm 340 . asante

Jamani kaka naomba sana hicho cha square meter 340 nakitaka sana naomba tuwasiliane kwa no. yangu 0713 689665
Je kina hati ?
Asante kwa kunitafuta sasa ndio naona hili tangazo nami niko kazini sina dollar kwenye simu yangu
Barikiwa
 
usijari mkuu, tuwasiliane tufanye biashara
 
Jamani kiwanja kina sqm 2678, kipo sehemu nzuri sana ni tambalale hakuna mabonde . tuwasiliane 0657 145555, au
0778 625039
 
Aisee hiki ni zaidi. Natamani mwakani ifike haraka ili nkinunue.
 
kiwanja kipo sehemu tambalale sana. hakuna bonde na ni karibu na sehemu palipotegwa kwa matumizi ya shule. ni km 23 kutoka feri.
 
Wadau viwanja vingi vilivyopimwa katika maeneo ya kigamboni , mabwepande , bunju A. na salasala
kiwanja nilichokija hapo juu. kipo amani gomvu. km 17 kutoka feri . ukifika nja panda ya mji mwema unanyoosha mpaka mwisho wa barabara ya rami tena unatembea km 2 ndipo unafika kiwaja kilipo kina sgm 2600. na vingine vingi vipo maeneo yaho tuwasiliane 0686 200117, 0778 625039. pia 0657 145555, 0755 099291.
bei ni sh 9,000 per sqm

Salalsala viwanja vipo wapi na size gani na bei je?
 
hawa sala sala vipo nina viwanja 4 viko eneo moja ni jirani kabisa na africana . na viwanja hivi vinauzwa vyote kwa pamoja kuna sqm 3771, 2678, 3245 na 2789 vinauzwa kwa pamoja 550m.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom