Kiwanja kinauzwa sakina sio mbali kutoka barabarani

chuku

Member
Jun 9, 2009
40
0
Kuna kiwanja kinauzwa sakina (ARUSHA). Ukubwa wa kiwanja hicho ni meta 25 kwa 26. Mwenye nia ya kuhitaji awasiliane kwa Na. ya simu 0754367366. Bei ni maelewano.

karibuni waja JF.
 
Last edited:
Kuna kiwanja kinauzwa sakina karibuni waja JF.

toa maelezo kamili, ukubwa kiasi gani, namba za simu, bei kiasi gani, huduma zinginezo vipi upatikanaji wake etc, that is how to make bussines
 
Ukubwa wa kiwanja hicho ni meta 25 kwa 26. Mwenye nia ya kuhitaji awasiliane kwa Na. ya simu 0754367366. Bei ni maelewano.
 
Weka bei hata ya kuanzia kaka.... Na vipi kuna huduma gani hapo karibu kama kanisa, msikiti, soko. Au kama kuna any development katika kiwanja. Kama kuna msing tayari, au kuna matofali au mchanga.....

....LAZIMA UVUTIE BIASHARA KAKA, MAANA KWA MIAKA HII BIASHARA NI USHINDANI KAKA.... BADILIKA KAKAA!!!!!!!!!!!!!
 
huyu ni dalali tu!
Hata hivyo si uweke bei hata ya makadirio ili watu wajue kama wanaweza kujikunja?
 
sakina ipi? mana kuna sehemu nyingine zina shida ya maji sana huko...kuna mtu alikuwa anahitaji maeneo ya sakina kuanzia pale G&T na LUSH, sasa cjui cha kwako kipo eneo gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom