Kiwanja kinauzwa mbezi makonde

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Kina ukubwa wa 1200 sqmts. kipo upande wa kushoto ukitokea Mwenge. Kipo karibu na St Mary Primary School.
Bei 35mil. Ukihitaji kukiona piga simu namba 0717114409 au info@kitomai.com
 
Ndugu yangu kina hati?Kusema ukweli napenda sana viwanja ndug zangu lkn kiwanja ambacho kipo karibia na St Mary yoyote kama hakina hati please itafute kwanza ndo uuze maana huyu mmiliki wa hizi shule kuna watu keshawaliza wengi kwa nguvu ya pesa kwa kudai eti eneo ni lote ambalo halijaendelezwa karibia na shule zake eti ni lake so tunaomba hati ya umiliki halali kwanza
 
kipo umbali wa mita 400 na huyo mmiliki wa hizo shule hana huo ubavu kama unavyosema ni mtu dhaifu sana katika mambo mengi wala usimuogope usitishike naye ni binadamu wa kawaida tu kama binadamu weningine utamuona siku yake ya mwisho kuishi hapa dunia ikifika hatakuwa hana nyimbo kama hao wengine waliokuwa maarufu leo hii wako wapi!
 
mkuu, kuna kiwanja kingine maeneo hayo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom