kiwanja kinauzwa mbezi juu

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Kipo maeneo ya Tatedo umbali wa kilomita 3 1/2 kutoka New Bagamoyo Road.kimepimwa na kina hati miliki. Bei 50mil. Kwa mawasiliano piga simu 0784225000 au tumia hii barua pepe. Kitomai.1stchoice@gmail.com
 
Hizi bei nni kwa wa tz au wawekezaji.
Kuweni realistic jamani
 
hafu we kitomai nikiona matangazo yako siyasomi maana unawekaga chajuu sana............
 
We kitomai ni dalali.unaweka cha juu sana wewe, yaani bei halisi unaongeza na nusu yake juu.
 
Hiyo bei ipo very reasonable. Nina hakika utakuwa hauna uzoefu wa kutosha katika maeneo hayo. Pili, suala kamisheni kuwa ninaongeza bei mara mbili si la kweli hata kidogo. Ungekuja ofisi ningekuonyesha mikataba yetu na wateja. Huwa tunatumia asilimia 0.1 hadi 5 hivi.karibuni ofisini kwetu tuwafafanulie namna tunavyofanya kazi zetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom