Enny JF-Expert Member May 26, 2009 962 130 May 8, 2012 #1 Kiwanja cha nusu heka kipo mabwe pande kina minazi, michungwa, n mipera. Bei million 9 tu. Kama upo interssted tafadhari ni pm
Kiwanja cha nusu heka kipo mabwe pande kina minazi, michungwa, n mipera. Bei million 9 tu. Kama upo interssted tafadhari ni pm
Royals JF-Expert Member Nov 19, 2011 1,466 378 May 8, 2012 #2 maji na umeme ni umbali gani na huduma zingine?
Mahesabu JF-Expert Member Jan 27, 2008 5,972 3,830 May 8, 2012 #3 Eka moja mbezi msumi 13m Hakuna hati,hakujapimwa
Enny JF-Expert Member May 26, 2009 962 130 May 10, 2012 Thread starter #4 Royals said: maji na umeme ni umbali gani na huduma zingine? Click to expand... Umeme upo karibu kabisa majirani wameweka tayari , maji pia hayapo mbali ila ni ya ku pump
Royals said: maji na umeme ni umbali gani na huduma zingine? Click to expand... Umeme upo karibu kabisa majirani wameweka tayari , maji pia hayapo mbali ila ni ya ku pump