Kiwanja kinauzwa kipo tabata segerea block s

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Kiwanja kipo sehemu nzuri sana, eneo limepimwa na limejengwa nyumba za kisasa, kiwanja kina sifa zifuatazo
Ukubwa 30m x 23m.
kimezungushiwa ukuta wa tofari eneo lote
kimejengwa msingi imara kabisa wa kujenga nyumba ya kisasa kabisa
mnunuzi atapewa ramani ya nyumba
kiwanja kimepimwa na nyaraka muhimu zote zipo
bei yake ni T.sh 60,000,000/=
kiwanja tayari kimegharamiwa pesa nyingi ukuta wa block, msingi imara kabisa uliokula nondo na senge la kushiba sana.kwa aliyetayari 0657 14 55 55, 0866 200 117
kiwanja segerea 01.jpg kiwanja segerea 02.jpg kiwanja 03.jpg kiwanja segerea 02.jpg kiwanja 05.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom