Kiwanja kinauzwa Kifuru

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Kwa wale wanaohitaji viwanja, kuna kiwanja/shamba la ukubwa wa hekari tatu kasoro linauzwa. Eneo hilo liko Kifuru (ukivuka segerea) ni eneo zuri kwa ajili ya shamba au makazi maana mji unapanuka sana. Bei ni MILIONI KUMI (10M asking price) kwa mawasiliano zaidi pls PM me au piga namba 0755149715
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom