Kiwanja kinauzwa Kibamba

mku

Member
Mar 27, 2011
88
9
Kiwanja kiko Kibamba ni nusu eka, hakijapimwa ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba na kuna umeme karibu na maji ya bomba kama utahitaji kutumia hizo huduma. Muuzaji ni mimi mmliki wa kiwanja na sababu ya kuuza nimepata kiwanja kingine kikubwa zaidi ya hicho na eneo ninalotaka. Kinauzwa million 10 ila kuna maelewano kwa yule anayetaka kukinunua. Kwa aliye na nia ya kununua anipigie kwa 0716468493. Hakuna dalali mimi mmiliki nakupeleka kwenye kiwanja.
 
Kibamba ni kubwa, kuna Kibamba kanisani, Hondogo na Mabwegere sasa wewe upo pande zipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom