Kiwanja kinauzwa Kibamba mwisho maeneo ya Kibelege

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,167
1,708
Wadau,

Nauza kiwanja changu maeneo tajwa hapo juu, bei rahisi ya shilingi milioni 7.5, ukubwa wa kiwanja ni sqm 800(20*40) maeneo yamejengeka sana. Umeme na maji vipo.

Karibuni sana

0763364459
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom