Kiwanja Kinauzwa Goba Kunguru

Venus

Member
Oct 12, 2011
12
0
Kuna kiwanja kinauzwa na jirani yangu hapa Goba Kunguru. Kina urefu wa mita 60 na upana wa 30m. Kina njia,maji na umeme upo jirani. Kinauzwa kwa Tsh 20,000,000. Kama unaitaji kiwanja na unaouwezo wa kununua hicho kiwanja unaweza wasiliana na mimi kwa hii email yangu hili niweze kukuunganisha na huyo mdada mwenye kiwanja.
 
Hizo ni square 1800 bei ya square metre ni 7000, unatakiwa uuze chini ya milioni 12 kaka.

Madalali mnaharibu sana biashara
 
Hizo ni square 1800 bei ya square metre ni 7000, unatakiwa uuze chini ya milioni 12 kaka.

Madalali mnaharibu sana biashara

Mimi sio dalalikwani na mimi nimenunua kiwanja maeneno hayo hayo. Mimi mwenyewe sikupenda kununua kiwanja kwa bei kubwa lakini sasa ndio bei zake. Tatizo linakuja kwamba tunatofautiana vipato. wewe ukishindwa mwenzio anachukua. Nilipata shida kupata kiwanja cha bei nafuu matokeo yake pesa ikawa inapukutika kwa vitu vingine. Hiyo ndio hali halisi kwani bei kubwa ya viwanja imechangiwa na serikali yetu baada ya kuanza kuuza viwanja kwa mbali no kwa bei kubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom