Kiwanja kinauzwa gezaulole

Sijakuelewa mkuu,hebu nipe ukubwa wa hicho kiwanja na bei yake!maana sielew unaposema Voucher unamaanisha nini.
 
wewe unayejiita unayejiita jerryz, umezidi sasa kila post unaweka hiyo website yako, sasa ni kama yaani unapiga kelele!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi viwanja si walisema vimegawiwa kwa watu wenye uwezo wa kujenga?

Ukifuatilia utakuta huyu mtu wa ardhi kapenyeza jina lake ili awaibie watanzania wenzake!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom