kiwanja kinauzwa eneo la Morroco kinondoni/ Plot for sale Morroco Kinondoni

Aleshers

Member
Apr 12, 2011
14
0
kiwanja kinauzwa eneo la morroco wilayani kinondoni, kiwanja No 69 Block 42, Sqm 1046 kwa mawasiliano zaidi Simu 0714169292
 
Bei yake?
Umbali toka barabarani?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hivi viwanja navihofia, unaweza nunua alafu kesho kutwa Ponda na vijana wake wakaweka kambi hapo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Morroco kuna viwanja mpaka leo au una uza open space za kuchezea watoto wetu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom