Kiwanja chenye hati kinauzwa bei chee

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
Habari wana jf!
Kuna kiwanja chenye hati kinauzwa bei chee
kiko kipawa mpya aka kwa mbike na kiko tambarare
ni vile viwanja waliopewa watu waliohamishwa kipawa kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege wa jk nyerere dsm
kipo mita 400 kutoka bara bara ya nyerere kuelekea kisarawe
ukubwa ni mita 25 kwa 35 na kina mazao
bei ni hela za kitanzania mil 7 haipungui
dalali hatakiwi
mawasiliano 0787883059
karibuni
 
Mkuu cha kwako au ushakamata udadali, watuzuia wengine kuingiza mguu kudalalia?
 
acha porojo una mteja? madalali wasumbufu au wewe siye?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom