Kiwanja cha ndege Mwanza : Njia ya kufika kwenye msikiti ndani ya uwanja hiko upande upi?

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Wadau wa Mwanza Airport,
Mtu akitaka kusali msikiti uliopo ndani ya uwanja wa ndege Mwanza anapitia wapi? Manake kote kuna uzio? Naomba kufahamishwa!
 
hivi viwanja vya ndege vina misikiti na makanisa? ya nn? i cant get u na sioni umuhimu wa hii thread, call customer care uwanja huo.
 
Mmiliki wa uwanja wa ndege hana dini.........ndio maana hakuna kanisa wala msikiti hapo uwanjani....suluhisho chukua taxi mpaka nje ya uwanja utapata misikiti huko
 
Mmiliki wa uwanja wa ndege hana dini.........ndio maana hakuna kanisa wala msikiti hapo uwanjani....suluhisho chukua taxi mpaka nje ya uwanja utapata misikiti huko

Msikiti huko ndani ya uwanja. Ukishuka pale kwenye elikopta za UN ndo unauona vizuri sana.
 
Back
Top Bottom