Kiwanja 750Sq.M chenye nyumba kinauzwa Kinyerezi

Boreless

Member
Aug 25, 2009
61
39
Malihusika hapo juu inauzwa.

Kiwanja kimepimwa na kina offer.

Kwa muhitaji tuwasiliane kupitia 0785-973-834
 
Weka bei ndugu yangu..hata ya kuanzia. Halafu hiyo nyumba ni ya aina gani? Chumba kimoja,vitatu au nyumba ya mlinzi? Tuongezee taarifa kwenye tangazo lako tukupigie simu mkuu.
 
Asanteni Nyote mliochangia,

Kiwanja ni cha serikali, kimepimwa na kina offer. Kiwanja kinatosha kwa nyumba za kawaida walau tatu.

Kuna nyumba (si ya kisasa ila wamo wapangaji) na mabanda ambavyo kwa pamoja vina vyumba 17.

Mali hii iko karibu kabisa na KARIAKOO tarajiwa. Yaani mahali ambapo baadhi ya shughuli za soko la Kariakoo zitahamia. Kama mjuavyo, magari yote toka shamba yanayoleta bidhaa za chakula Dar yatakuwa yakishushia mizigo hapa Kinyerezi. Na hivyo madalali wote wa mizigo pamoja na magari ya mizigo toka shamba huku ndo itakuwa eneo lao.

BEI: Tshs. 48,000,000/=
 
Una maana gani ukisema kina offer...yaani kuna mtu kakuambia atakupa kiasi fulani cha pesa, mnada au?
 
BEI: Tshs. 48,000,000/=

Boreless,

Kumbe kaplot kangu naweza kufetch more than TZS 200,000,000 eeeh? coz ni 2500 Square meters! Karibu na kinyerezi Sec / Primary........!

Hicho kiwanja kiko kinyerezi ipi.....kule karibu na RC au kwa IGP Mwema, Garage, Msikitini, Mwisho wa lami au wapi mkuu?
 
Una maana gani ukisema kina offer...yaani kuna mtu kakuambia atakupa kiasi fulani cha pesa, mnada au?

Namaanisha kiwanja kina karatasi/document wasomi mnaiita OFFER bali uswazi ni kama vile inaitwa HATI ya MAKAZI. Ukikabidhi OFFER ndo unashughulikiwa TITLE DEED
 
Boreless,

Kumbe kaplot kangu naweza kufetch more than TZS 200,000,000 eeeh? coz ni 2500 Square meters! Karibu na kinyerezi Sec / Primary........!

Hicho kiwanja kiko kinyerezi ipi.....kule karibu na RC au kwa IGP Mwema, Garage, Msikitini, Mwisho wa lami au wapi mkuu?

Next Level,

Kweli uko hatua za mbefele,

Bei ya soko kwa sasa Kiwanja cha Kinyereze 500-600sqM ni 30-35M cash.
Hivi viwanja vilipopimwa na wakazi wakatakiwa kulipia, kulikuwa na tahadhari kuwa serikali haitatangaza tena kuwakumbusha wakazi bali itataoa/itatangaza viwanja ambavyohavitakuwa vimelipiwa ili wenye hela wavinunue. Serikali haikutania katika hili. Siku zikaisha, tangazo likatoka magazeti ya asubuhi.

Unajua nini kilitokea??!!
Kufika saa 6 serikali ilikuwa tayari imepokea malipo toka kwa waombaji wapya wasiopungua 8,000 wakati viwanja visivyolipiwa vilikuwa kama 2,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom