Kiwango cha mkopo ni kwa mwaka au miaka yote

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
158
39
Habari wana jf ninatatizwa na kiwango cha fedha kilichotolewa na bodi kuna watu hyo fedha inazidi gharama ya koz kwa miaka yote mitatu e.g jamaa yangu kapewa 3,147,500 na gharama ya koz/mwaka (LL.B) ni 950,000 je hv viwango wamejumulisha na mahtaji mengne kama meal allowance etc.

Samahani kwa kuwa out of topic...waliopata mikopo wameshatangazwa?

mkuu tena kabla hujachek jina piga sala vizuri, cz hyo mikopo ilivyotolewa wazaz wako watakufa kwa pressure.

duh, mbona wanishtua weyeee! Imetoka lini? Nikienda ktk web yao nitayaona?

Duh, wamenipa 3,475,500.00 coz inaitaji 1,300,000 per year..hata mimi sielewi wamepigaje mahesabu, ni kwa mwaka au miaka mitatu!

Nilisikia kwamba kozi za sayansi (afya) ni miongoni mwa zinazopewa kipaumbele lakini mimi nimekosa mkopo sijui inakaaje hii!

mimi sielewi wametoaje maana kuna watu wanastahili mkopo mwingi na waliahidiwa mikopo itaongezwa kwao lakini nashangaa wamepewa kidogo..

nimecheki na kiasi nilichoona ndio kinachotatiza cause nimepewa 3847500/ ambacho ni kikubwa sana kwa mwaka (kozi yangu ina gharimu 1,300,000/=) + boom 180000/= kwa mwaka) na kama ni kwa miaka yote wana uhakika gani na perfomance yangu kama nitamaliza.

Fanya 8000 (meal&acc) * siku 240 (2sms) mwaka1 ,inayoongezeka hapo ndo ada ya masomo yako kwa mwaka hapo chuoni...right??

sasa mkuu wale ambao wamekosa mkopo ina maana na meal allowance na accomodation hawapati?

hawapati chochote, wanahesabika kama vile hawaku apply au niseme hawana vigezo vya kukopeshwa, ila kwa wale wenye hoja zenye nguvu wanaweza ku appeal na wakafanikiwa,pia waweza kuwa hukupata mkopo kwa sababu mbalimbali may be 1)fomu za ku apply hazikufika 2)hukuambatanisha baadhi ya nyaraka,nk.pia mkifika chuoni Kama Umepata Udsm daruso hua wanasaidia kushughulikia na vyuo vingine vina taratibu zao kupitia uongozi wa wanafunzi so msife moyo hata hao waliokosa zaidi ya nusu wanaweza kufanikiwa baadae.

Back
Top Bottom