Kiwango cha mishahara kwa fresh graduates kilichowekwa na serikali

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Ndugu zangu naombeni
kujua mshahara ambao
serikali imeweka
namaanisha net salary
ambao fresh graduates
wanapaswa kulipwa pindi wanapoajiliwa ni
shilingi ngapi?
Hasa waliosoma masomo ya biashara kama finance, marketing,BBA, Procurement n.k
 
sisi tunalipa kutegemeana na performance yako na kiasi unachozalishia kampuni, karibu sana.
 
kaka can't be constant inategemea ni kitengo gan cha serikali..Central govt,Local authorties,parastatals and govt agencies.wote wana schemes tofaut..na kwa private uko ndo kabisa, ref ur market economy

ningependa kujua kwa undani zaidi tafadhali kuhusu kampuni yako niandikie kwenye e-mail yangu ya rnoel1984@gmail.com
 
local govt,salary scale kwa sifa hzo hua ni TGS D ambao mshahara wake huanzia 455,000/=

Ahsanteni kwa kunielesha nawashukuruni but hivi TBC na STAR TIMES mishahara yao wanalipa under the govt ama kama taasisi binafsi kwa sababu nakumbuka kama tbc ilitaifishwa.
 
kaka can't be constant inategemea ni kitengo gan cha serikali..Central govt,Local authorties,parastatals and govt agencies.wote wana schemes tofaut..na kwa private uko ndo kabisa, ref ur market economy

ahsante sana "tydi of fake politics" kwa kunielewesha. Naomba kama unaweza kuniattachia dox zinazoelezea viwango vya mishahara na malipo yake.
I will thank u much!
 
hapana hakumaanisha kama unavyotaka wewe, jamaa kachemka vibaya

huu mda unaoutumia hapa kufuatilia fulani kakosea wap na kapatia wap ni bora ungeutumia kwenye kusafisha nyeti zako ili ku msuprise partner wako...
 
bampami we ni usalama nini? nakustukia kutokana na maswali yako, kuna jamaa alipost waraka mpya wa mshahara humu jf na watu tukadownload lakin baada ya masaa mawili jamaa akawa kaudelete jf nikasema hebu niusome fresh kwenye pc yangu, nikagundua waraka huo bado ni siri na haukutakiwa kuwekwa kwenye mitandao. nilivyoassess maswali yako ni kama vile unataka kujua kama bado watu wanao waraka huo. umechemsha ndugu!
 
Back
Top Bottom