Kiwanda cha cement Wazo Hill kimekuwa kero kwa vumbi

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
kwa kwel leo nilikuwa pale kituo cha polisi wazo hili hali niliyojionea inatisha sana kwa vumbi jembamba linalotoka kiwandani na kuenea eneo lote lile jamani wakazi wa pale kwa hali ile ugonjwa wa tb kwao itakuwa jambo la kawaida nemco ni vyema wangetembelea pale wajionee wenyewe kuwanusulu wakazi wa wazo hill
 
sina uhakika, ila nadhani kiwanda ni cha zamani kuliko makazi ya watu, ilibidi watu wasiruhusiwe kujenga hayo maeneo
 
mbona mnataka wenyewe kama umechoka hama mana czan kama selikar ya tz itafikiria kukifunga wewe hama hapo kama vp amia bunju au boko au nenda mbagala na hapo pangsha mana cunajua tena selikar ye2 ikiwa inaingza pesa nyng sehemu wala hawasikii mtalalamika mpk bac ila hakifungw ngo! Kaz kwako
 
yani ukienda pale mchana utawakuta maaskali wamejaa vumbu kwenye pua macho nywele sema nguo zao zafanana na vumbo lakini utawatambua kuwa wanakerwa na vumbi kwa jinc wanavyokuwa wametapaka vumbu mpaka huruma
 
Back
Top Bottom