Kiwacha cha sqm 1158 kinauzwa gezaulole

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
211
Hakipo mbali na barabara ni mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. bei ni 23m kimepimwa na kimewekwa mawe. tuwasiliane 0657145555, au 0778 625039, 0755 099 291 na 0686 200 117. karibu
 
Hebu nifahamishe kuwekewa mawe ndo nini..... Ndo kina hati au naomba unieleweshe tafadhali.
 
kinayo hati mkuuu shaka ondoa , hatua ya kwanza huwa ni kupima kisha kuweka mawe. jiwe huwa ni ishara ya kuonesha kwamba eneo hili limepimwa na linatambulika, hata utapata mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom