Hapana Paka Jimmy. Hili vazi ni la wanyakyusa na linaitwa ILYABI ( say: eilyab'hi). Nimewahi kuona miaka ya late 70's ilikuwa ikitengenezwa kwa magome ya miti. Sikuona inavyovaliwa, lakini iliwekwa na babu yetu kama kumbukumbu. Ingawa sikushuhudia, lakini nyaya yetu , yaani mama yake na babu yangu alivishwa hilo vazi alipofariki mwaka 1977.
eheee uligwankati nkamu:smile: