Kivazi cha Kuogelea Kinapochanika Sehemu Mbaya!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
2390722.jpg

Kivazi cha Kuogelea Kinapochanika Sehemu Mbaya! Thursday, July 02, 2009 5:30 PM

Mwanadada muogeaji maarufu wa nchini Italia aligubikwa na machozi baada ya kivazi chake cha utatanishi cha kuogelea kuchanika sehemu mbaya na kuweka wazi nyeti zake na kupelekea atupwe nje ya mashindano ya kuogelea. Picha zake mwisho wa habari hii. Flavia Zoccar nyota wa Italia wa mchezo wa kuogelea kwenye Olimpiki alipata bahati mbaya pale kivazi chake cha kuogelea cha utatanishi chenye ya thamani takribani Tsh. laki sita na nusu kilipochanika sehemu ambayo hakutegemea na kuweza wazi nyeti zake.

Tukio hilo lilitokea jana kwenye mashindano ya michezo mbalimbali ya Mediterranean yanayoendelea nchini Italia.

Flavia mwenye umri wa miaka 22 aliangua kilio pale waandaaji wa mashindano hayo walipomwambia kuwa hawezi kuendelea na mashindano akiwa katika kivazi hicho kilichochanika.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom