Kivazi cha Ally Rehmtullah

mmmh mi ntakuwa wa mwisho kuvaa such designs na kutembea na handbag za design hiyo!! Acha nionekani mshamba tu.....!!!

We kama mimi! Kuna fashion nyingine ni za kuangalia tu na siyo lazima uzuke na kila fashion ili uonekane nawe ni "wa mujini" (isomeke mjini)

 
Hakuna mwanamume yoyote rijali anaweza kubeba handbag kama hiyo....Kwa UK kubeba bag na kuvaa hivyo ni kujitambulisha kwamba wewe ni bwa bwa...Ndiyo fashion yao siku hizi hayo mahandibagi makubwa makubwa.

Wanajaza pampers... ha ha ha!
 
Lolz! Eti he luks laiki TAFUNWABO!...nimemcheki mtu mwenyewe:- macho, tabasamu, pozi, mavazi (eti ya kidizaina), na mkoba ndy kabsaa unaua kila kitu! LOLEST :smile-big:
 
ANA CHEMBE CHEMBE ZA USHOGA HUYU SI BURE, KWANI WANAUME MADESIGNER SI WENGI TU HAWANA MAMBO KAMA HAYA.:frusty::frusty:
 
Back
Top Bottom