Kivazi cha Ally Rehmtullah

Huyu mwanzoni mwa mwaka alikuwa na kesi oysterbay ya kumshawishi model wa kiume amuingilie kinyume kwa malipo alimpigia simu na kutuma sms kibao jamaa akaona kero akaziwasilisha polisi,alitoa milioni kumaliza soo.
 
images
images
images
images
images
images


Compare na kaptula wetu
 
Haya bwana.

Mie simo kwenye ku speculate maisha yake binafsi.
.... Si maisha binafsi GAIJIN bali ni moral za celebrit wetu zinavyoathiri jamii. Wewe ni shahidi kuhusu mabadiliko ya utamaduni wa mavazi nchini yalivyochangiwa na zile tamthilia za EGOL na nyinginezo... na sasa tunaona mabadiliko kadiri masupastaa wanavyojibadilisha ktk utamaduni wao.
Angalia style ya kunyoa na kuacha kibwenzi ilivyochangiwa na Ronaldo de Lima wa Brazil. Hata usukaji wa nywele wa wachezaji wa west afrika ulivyoathiri tasnia ya nywele nchini.

Hapa tunajadili tabia za hawa ndugu zetu ili kama siyo nzuri tujue what is the tiba
 
bwa bwa hili.....ushaliona likiongea? asssh
Happy new coming year broda YO YO.
where have you been kaka long time...

Huyu designer kwa kweli ninamtilia mashaka kama morals zake zipo makini ama ndo vile si mwenzetu tena...
 
Msanii
Hatuwezi kutaka fashion shows wanawake wanapita na nguo za ndani tu tukaona sawa kisha wanaume wakiwa wana mushkeil kwenye tasnia hiyo hiyo tukashangaa.

Standards lazima ziwekwe saa zote au tusiweke saa zote.
 
bwa bwa hili.....ushaliona likiongea? asssh

Mi ka ni mshamba niwe mshamba tu. hand bag kwa mwanaume kama hii jamaa ameshika! hapana kabisa hamna kitu ka hiyo.

Yo yo bana hako kadudu kwenye avator yako kamenitoa ushamba nikadhani kwenye screen yangu kamdudu kanacheza nikawa naangaika kukaondoa kumbe ni swaga la avator yako...
 
Happy new coming year broda YO YO.
where have you been kaka long time...

Huyu designer kwa kweli ninamtilia mashaka kama morals zake zipo makini ama ndo vile si mwenzetu tena...
yah man......am back....
...hilo bwabwa wanafahamiana sana na nyani ngabu
 
Duh JF kwa kuspeculate maisha binafsi!!! Watu wamemshambulia Mange na sasa hivi mwingine huyu! Hivi hatuwezi kujadili hoja bila kuanza kukashfu watu. Unless awepo mwenye ushahidi, vinginenvyo ni majungu na husda tu
 
Hakuna mwanamume yoyote rijali anaweza kubeba handbag kama hiyo....Kwa UK kubeba bag na kuvaa hivyo ni kujitambulisha kwamba wewe ni bwa bwa...Ndiyo fashion yao siku hizi hayo mahandibagi makubwa makubwa.
 
ma great sinker mmeanza tena haya mambo yasiyo na maslai kwa taifwa.by the way mada imeletwa inabidi tuchangie.hivi huyu designa kuna kipindi alizushiwa kesi na modo flani wa kiume kwamba anamlazimisha amtafune vuvuzela lake a.k.a. pom pompo,au pi pi .iliishaje ile kesi?
 
Back
Top Bottom