Kiuno . . . . . .

tufundishe bana.....
Preta naomba nikwambie kidogo tu japo hapa siyo pa kujimwaga zaid. Iko hivi kiuno kama kiuno kina kazi moja tu katika game, hiki huleta hamasa na mnogo fulani. Kiuno chako kama mwanamke unatakiwa ukirembe kwa shanga kidogo siyo nyingi zenye rangi nzuri na zisizo kuwa nene sana yaani zile za shingoni. kama unaweza basi kiveshe mkufu wa dhahabu au silver. Urembaji huu unatokana na ukweli kuwa mwanamke ni pambo la nyumba so chumbani kwako ndipo nyumbani kwako wakati huo na ndipo unapotakiwa uwe na mvuto sana na mrembo zaid.

Sasa kiuono kilichoveshwa urembo huu au hata kama hakija veshwa kina kazi moja tu ya kuleta uwanja wa mchezo kuwa na raha. Jamani siyo siri wote tunapaswa kukatika tena ikiwezekana mmoja akikata kulia mwingine ana kata kushoto lol hapo lazima mtafurahia tendo la ndoa kuliko kawaida. haitakiwi ukate kama una cheza ngoma la bali ni taratibu stail ya staki nataka huku ukibadili mwendo mara kushoto mara kulia unamalizia na kushtua kiduku kidogo.

Binafsi sipend jinsi ambavyo wadada wanavyovianika viuno vyao nje, hii hukera sana kwani huwa najiuliza hizo shanga anamuonyesha nani? na je akiambiwa aseme maana yake naijua? sisi tuliochezwa zamani tuliambiwa maana ya kila rangi ya shanga na idadi yake bali wadada wa kileo hilo hakuna wa kuwaambia. Kwao wanakwenda na wakati basi.

wakaka na ninyi jifunzeni kukata viuno vyenu, mapenzi ya kukuna nazi hayapo tena siku hizi ni stail ya nyuzi 360 mpo wakaka wa jf? Babu yenu ODM awape shule, ila ukweli ni kwamba mkaka anayejua kukitumia kiuno chake ipasavyo huwa anapagawisha sana tu tena huwa hachoki sana kwani huwa anapokata kunavibration fulani ambayo humfanya mwanamke afike mapema zaid tena pasi kutumia nguvu nyingi. mmmmh! jaman naishia hapa kwa leo. maswali mnipm manake hapa naogopa kusema zaid
 
Toa elimu tujue tuko upande gani wa ujuzi,sio kutupa maelezo mafupi halafu watuacha hewani,lete mambo eiyer bhana!!
 
asante sana gfsonwin......kwa ufafanuzi....
kwenye post yako nimepata mambo mawili ambayo nitayafanyia upembuzi yakinifu.......hiyo kesho.......
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin

walahhhhhhhhiiiii.......
Ni jambo ambalo wanaume wengi hawalijui....
Mkikata kiuno panapo majambozi raha apatayo mwanamke haielezeki.....
Atapanda kileleni kadri uamuavyo........
 
Badili tabia mimi huwa nasemaga kabisa tukate wote jamani..........lol.......yaani mkiwa mnakata wote kuna vibration fulan inapita kwa mwanamke asikwambie mtu huyo mwanamke lazima akojoe. Sasa wale wenzangu wavivu ambao wao humwachia mwanamke tu akate wao wana kaazi ya kukuna nazi ,,dah huwa wanaboa sana manake inampasa huyo mwanamke ahangaike peke yake ili afikie.

Nakushukuru sana kwa kuliona hili na naamini wifi yangu huwa unamfikisha kunako.
 
nimekuelewa sana,binafsi nadhani sipo mbali na ulimwengu huu.nafasi nzuri kujitathimini ktk kutimiza majukum yetu ktk kila nyanja.tupo pamoja!
 
Preta naomba nikwambie kidogo tu japo hapa siyo pa kujimwaga zaid. Iko hivi kiuno kama kiuno kina kazi moja tu katika game, hiki huleta hamasa na mnogo fulani. Kiuno chako kama mwanamke unatakiwa ukirembe kwa shanga kidogo siyo nyingi zenye rangi nzuri na zisizo kuwa nene sana yaani zile za shingoni. kama unaweza basi kiveshe mkufu wa dhahabu au silver. Urembaji huu unatokana na ukweli kuwa mwanamke ni pambo la nyumba so chumbani kwako ndipo nyumbani kwako wakati huo na ndipo unapotakiwa uwe na mvuto sana na mrembo zaid.

Sasa kiuono kilichoveshwa urembo huu au hata kama hakija veshwa kina kazi moja tu ya kuleta uwanja wa mchezo kuwa na raha. Jamani siyo siri wote tunapaswa kukatika tena ikiwezekana mmoja akikata kulia mwingine ana kata kushoto lol hapo lazima mtafurahia tendo la ndoa kuliko kawaida. haitakiwi ukate kama una cheza ngoma la bali ni taratibu stail ya staki nataka huku ukibadili mwendo mara kushoto mara kulia unamalizia na kushtua kiduku kidogo.

Binafsi sipend jinsi ambavyo wadada wanavyovianika viuno vyao nje, hii hukera sana kwani huwa najiuliza hizo shanga anamuonyesha nani? na je akiambiwa aseme maana yake naijua? sisi tuliochezwa zamani tuliambiwa maana ya kila rangi ya shanga na idadi yake bali wadada wa kileo hilo hakuna wa kuwaambia. Kwao wanakwenda na wakati basi.

wakaka na ninyi jifunzeni kukata viuno vyenu, mapenzi ya kukuna nazi hayapo tena siku hizi ni stail ya nyuzi 360 mpo wakaka wa jf? Babu yenu ODM awape shule, ila ukweli ni kwamba mkaka anayejua kukitumia kiuno chake ipasavyo huwa anapagawisha sana tu tena huwa hachoki sana kwani huwa anapokata kunavibration fulani ambayo humfanya mwanamke afike mapema zaid tena pasi kutumia nguvu nyingi. mmmmh! jaman naishia hapa kwa leo. maswali mnipm manake hapa naogopa kusema zaid
Unatumia kinywaji gani?
 
Back
Top Bottom