Kiuno . . . . . .

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Kiuno kila mmoja wetu anakijua,kinamatumizi mengi kwenye shughuli zetu za kila siku.Lakini kwenye mapenzi au mahusiano kina kazi nyingine hasa kunako game,kiuno kikitumika vyema husaidia kuboresha uhusiano ila ukichemka kinakosa maana.Na matumizi au umuhimu wake ni kwa jinsia zote.Je wajua matumizi yake?Kama hujui ni bora ukajifunza umuhimu wake ili uboreshe uhusiano wako!
 
Mimi nilidhani ndiyo unataka kutoa darasa kwa wale tusiojua ili tuweze kujifunza umuhimu wake badala yake kumbe unatuacha hewani tu, sasa tutajifunza wapi??
 
Eiyer
toa tuition....
Jinsi ya kukizungusha.....
Maana vingine vinaenda kama mashine ya kukoboa.......
 
Last edited by a moderator:
tufundishe bana.....

Mhe mleta mada, kwanza kabisa niseme naunga mkono hoja ya Preta! Hebu tufundishane haya maviuno? Na mbona wanawake wengi viuno 'havionekani'? Chipsi hizi jamani?
 
Kiuno kila mmoja wetu anakijua,kinamatumizi mengi kwenye shughuli zetu za kila siku.Lakini kwenye mapenzi au mahusiano kina kazi nyingine hasa kunako game,kiuno kikitumika vyema husaidia kuboresha uhusiano ila ukichemka kinakosa maana.Na matumizi au umuhimu wake ni kwa jinsia zote.Je wajua matumizi yake?Kama hujui ni bora ukajifunza umuhimu wake ili uboreshe uhusiano wako!

kiuno chako kikoje?
 
Back
Top Bottom