Kiukweli kabisa( Roho Safi),Lowassa ana Hela Kiasi Gani na Ameshika Uchumi Kiasi Gani Kibiashara?

LebronWade

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,615
1,504
Bila kuleta conspiracy theories,naomba,mwenzenu nataka kujua kabisa Lowassa ameshika uchumi wa hii nchi kibiashara kwa kiasi gani.Mimi nashindwa kuelewa na sometimes hua nachanganyikiwa na huyu Lowassa,sijui watu wanam-overrate sana au tuna-fear something we do not understand.Kwa jinzi huyu jamaa alivyozungukwa na controversies ningekua sehem kama Brela,TRA au benki ningekua nishamchimba sana nyendo zake na kujua huyu jamaa ana ile financial power ya UKWELI au mbwembwe tu.Kwa bahati mbaya na mimi ni mvuja jasho tu na kimbilio langu ni JF kwa wazalendo wa kweli mtujuze aisee,hebu tuweke wazi for once and for all on:

1.Ana kampuni ngapi(kwa wazi na kwa siri/linked ownerships/vivuli,etc)
2.Zinaperform kwa kiasi gani financially
3.Kashika sector zipi nyeti
4.Ana wastani wa utajiri kiasi gani (turnover yake kwa ujumla)
5.Na wadau wanaojua hasa wa TRA,huyu jamaa hua analipa kodi serikalini kiasi gani kwa mwaka
6.Watoto wake wanamiliki nini hasa?
7.Nataka kujua kiukoo,hawa jamaa walikua wanamiliki hasa utajiri gani,jee Lowassa alipokuaga dogo alikua yupojeyupoje kibiashara?
8.Kama kuna mtu alishapiga jicho kwenye personal account yake (haijalishi kwa njia gani).Jamaa mabovu yake anayapiga kivipi vipi.Kwa mjanja ukila jicho wiki hii,then next week utashituka anapigajepigaje hayo mahela yake.

Jamani tusaidieni,tupo watu milioni 40 tunaumiza vichwa bila majibu,tusaidieni ndugu zetu.
 
Watu wa aina ya lowasa hawawezi kumiliki biashara au kampuni ya kwake mwenyewe,ila wanafanya biashara ndani ya kapuni za watu au mashirika mengine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom