Kiukweli hivi kazi gan za it zinalipa bongo?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Najiuliza kila siku hivi in reality kwa maisha ya bongo kazi gani ya wale wa information technology inalipa sana? Itapendeza zaidi kama mngetoa mfano wa mbongo yeyote ambaye amewin maisha kupitia hii kaz
 
Inalipa ukijiajiri,kama uko fiti nishtue,,ukisubiri kuajiliwa utalipwa tu mshahara wa kawaida na mwishoni na wewe utaanza kugoma mshahara mdogo tuongezwe
 
Najiuliza kila siku hivi in reality kwa maisha ya bongo kazi gani ya wale wa information technology inalipa sana? Itapendeza zaidi kama mngetoa mfano wa mbongo yeyote ambaye amewin maisha kupitia hii kaz

Pushing boxes, pays if you know what I mean!!!
 
Kazi zote zinalipa ukizifanya kiufanisi zaidi...Kama ni mpiga debe komaa,kama mbeba zege komaa tu! Hakuna cha it wala nini wengi ni wezi tu,wanaiba laptop na desktop harddisk software na kuziuza,wanaandaa invoice computer hadi mil3 kumbe wananunua laki 4 na nusu tu!
 
Vijana wa siku hizi pesa mbele huduma nyuma,kazi yeyote italipa only kama wewe mfanya kazi utaleta more money to the company,utazuia loss of money ,utapunguza operation cost.Sasa siku hizi mnawaza kulipwa mipesa mingi kwa kazi kidogo.Kama unaelewa nini kinaendelea kiuchumi duniani,most companies ziko na economic crisis.Be your own boss kama unataka kazi ya kulipa vizuri.Kabla ya kutaka kulipwa vizuri,jiulize wewe utachangia kiasi gani kwa kampuni.Mishahara haitoki mbinguni,inatokana na pesa kampuni iliyopata.The way I see it,kazi za IT zitakazokuwa sokoni for so long(sijasema zenye pesa nyingi) ni mambo ya Database,security,wireless networking,Software engineering,systems auditing.Kama wewe ni kichwa try otherwise just b an observer.
 
Kazi nzuri ni ile inayokuingizia kipato kizuri, na kazi yoyote yaweza kuwa nzuri na ukatajirika kupitia hyo....
 
kijana fanya programming utatajirika maishani mwako mifano ni mingi tu
Swali ni kwamba utaweza kumudu??
 
sijajua upo interested upande gani maana software ni pana sana

Dah kwa sasa sina knowledge kabsa kuhusu programming, but najua nini inahusu. so ni vizuri if u are willing ukanfafanulia kidogo ni sehem gani ya programming ni basic na muhimu. Naingia 1st year this september (engineering) but i wish ningeongezea huo ujuzi mkuu.
 
Unataka kujua programming?
Haya tuanze kwa VB.NET

Public class Anima
private _Name as String
Private _Age as String
Public Function GetName() as string

Return _Name
End Function

End Class

Anzia hapa
 
Najiuliza kila siku hivi in
reality kwa maisha ya bongo kazi gani ya wale wa information technology
inalipa sana? Itapendeza zaidi kama mngetoa mfano wa mbongo yeyote
ambaye amewin maisha kupitia hii kaz

Zaku update currency change BOT.
 
Back
Top Bottom