Kiu ya watanzania sio kujiuzuru

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Bado sijafikia kuamini kuwa kiu yetu ni kuona watuhumiwa wanajiuzuru tu bila hatua zaidi kuchukluliwa dhidi yao.Akina Johnson mwanyika,arthu mwakapugi,na wengine sioni kama ni haki kujiuruzu.Badala yake wangefukuzwa na kuchukuliwa hatua za kisheria zinazostahili......
mnaonaje wadau....mmeridhika?
 
Si bora siku hizi wanajiuzulu hata kujiuzulu, enzi za Nyerere anawapangua tu anamtoa huyu hapa anampeleka kule.

Halafu watu wanampandisha chaaaati.We have a long way to go.
 
Hii chuki binafsi inaku-blind to facts. Consider the evidence. Here is one:

mail
 
Unakataa Nyerere haku recycle watu? Nenda kamuulize John Cheyo, nenda kamuulize Nyakyoma aliyekuwa GAPEX, washua kibao walikuwa wanapeta kama nchi yao, tatizo kulikuwa hamna transparency tu, Nyerere alikuwa na loyalty kwa watu wake kiajabu.Juzi Warioba katoboa siri jinsi Nyerere alivyotaka kuleta constitutional crisis kumchagua ubunge mtu aliyepigwa ban na mahakama kwa sababu ni crony wake tu, bado unabisha kwamba Nyerere si plagiarist? Unabisha kwamba Nyerere haku recycle mafisadi wakati wake?
 
nataka kuona wakifungwa jela maisha na pia mali zao zitaifishwe zirudi kwa serikali
 
Usikimbie ushahidi huo hapo juu. Ujadili kwanza. Unaongea kana kwamba kamwe watu hawakujiuzulu au hawakufukuzwa kazi wakati wa Nyerere.

Kuna sababu ya msingi iliyofanya Nyerere awapa watu kadhaa nafasi ya pili. Kawaulize na wasaidizi wake wa karibu watakuambia. Kumbuka hatari ya kusikiliza hadithi ya upande mmoja tu - The danger of a Singe Story!
 
Usikimbie facts zipo hapo juu, unaongea kama watu hawajawa recycled baada ya kufanya ufisadi wa hali ya juu? Mbona nimekupa specific examples na majina hayo hapo juu? Bisha sasa.
 
Acha u-hambiliki. Nimeshakupata muktadha hapo juu kuhusu watu kupewa nafasi ya pili katika enzi zile ambapo 'manpower' ilikuwa ndogo. Na nimetoa ushahidi kuhusu waliojiuzulu na kufukuzwa pia. Endelea kubishia ushahidi.
 
Hahaaa, huoni hata aibu kutumia nickname ya hero wako kuniita mie haambiliki? Mbona unataka kuleta ushabiki wakati mimi nimekupa majina ya watu na mashirika hapo juu na hujaweza ku dispute?
 
Bado sijafikia kuamini kuwa kiu yetu ni kuona watuhumiwa wanajiuzuru tu bila hatua zaidi kuchukluliwa dhidi yao.Akina Johnson mwanyika,arthu mwakapugi,na wengine sioni kama ni haki kujiuruzu.Badala yake wangefukuzwa na kuchukuliwa hatua za kisheria zinazostahili......
mnaonaje wadau....mmeridhika?
hawastahili kuchukuliwa hatua za ksheria kwani walitekeleza maagizoo ya wakubwa wao (waziri + raisi)..

wao ni wajumbe tuu katika maamuziiii..
 
baada ya kuwa na hii transparancy basi tujadili hawa wanaotuibia kwa kasi ya ajabu......tumwache nyerere kwani hakuna asiyejua maisha aliyoishi ambayo hakuna kiongozi yeyote wa nchi aliepo na atakayekuja anayeweza kuthubutu...................je inatosha kujiuzuru kwa hawa wala nchi?
TUJADILI....TUCHUKUE HATUA.
Si bora siku hizi wanajiuzulu hata kujiuzulu, enzi za Nyerere anawapangua tu anamtoa huyu hapa anampeleka kule.

Halafu watu wanampandisha chaaaati.We have a long way to go.
 
watu wanatoka nje ya maada....hawajadili jambo hili zito tunarudi kwa nyerere tena hii ni single-minded mind.....TUJADILI HOJA
Hii chuki binafsi inaku-blind to facts. Consider the evidence. Here is one:

mail
 
kwa hiyo tudeal na presdent sio? ila kweli kwani kikwete ni dhahili kabisa alijua uozo alafu saa izi anajifanya alichua tahadhari kwamba wasaidizi wawe makini hii haingii akilini kwani haieleweki ni kwa nini aliamua kutahadharisha......................
hawastahili kuchukuliwa hatua za ksheria kwani walitekeleza maagizoo ya wakubwa wao (waziri + raisi)..

wao ni wajumbe tuu katika maamuziiii..
 
nataka kuona wakifungwa jela maisha na pia mali zao zitaifishwe zirudi kwa serikali

Suppose wamefungwa jela maisha, Je, ni nani anayeadhibiwa hapo? maana atakula bure, atalala bure, atapewa ulinzi bure, matibabu bure, na ataangalia TV za gerezani bure. Napendekeza badala ya kufungwa maisha, mali zao zitaifishwe na wapewe eneo la kufanya kazi za jamii bila malipo kwa muda wa miaka 7 kama njia ya kulipia madhambi yao.
 
Back
Top Bottom