Kiu jamani kiu

Mkuu Obi BADILI TABIA ni shemeji yangu wa muda mrefu in fact ananipenda sana. Ndo ukimwona anajiachia hivi. sasa nimemwambia aje PM badalaya kutegemea google translate naona anapuuzia ila najua pa kumkamatia. Mi kule sijakaa ile cha ngymbaru kidogo tu

hhahhaaaaa hapa nafanya practise ya kukaza ulimi, si unajua kijerumani bila kukaza ulimi hakiendi......soon na mie nitaanza kukitema, chezeya BT weyeeee
 
Last edited by a moderator:

Utapenda ujerumani ukienda wiki moja kabla ya tarehe 1 october pale munchen aah sorry munich sehemu inaitwa bavaria kusini mwa munich kuna tamasha kubwa sana la kila mwaka la kunywa pombe linaitwa octoberfirst. People worldwide huenda pale wanalewaa.
 
Back
Top Bottom