Kiu: Baraza Jipya la Mawaziri

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,326
6,848
Linatangazwa lini? Tafadhali mjiandae kuja kunipa pongezi kama nitakuwemo
 
JK hana jipya bana..anaweka mawanaibu wale wakina mama pale wizara ya fedha hawajui hata maana ya inflation ni nini !
 
Back
Top Bottom