Kituo cha televisheni cha ATN chavamiwa na majambazi

Kwa mujibu wa matangazo ya Radio WAPO leo asubuhi kupitia kipindi cha "Patapata" ofisi na studio za Agape Television (ATN) zimevamiwa na kundi la watu zaidi ya 20 waliokuwa wamejiziba nyuso zao kininja usiku wa kuamkia leo majira ya saa 8 usiku.

Walinzi walizidiwa nguvu na kuzibwa midomo kwa gundi na kufungwa kamba. Wakavamia studio na kuvunja na kupora vitu mbali mbali.

Bado haijajulikana hasara zilizosababishwa na uharifu huo pia haijajulikana wahusika ni kina nani. Ila kwa jinsi upepo ulivyo na movement ya ugaidi chini ya imani fulani, unaweza kuhisi ni nani walio nyuma ya mpango mzima. Toka uasisiwe ugaidi wa kininja kupitia dini hiyo.

Watu wa AGAPE jueni kuwa kisasi ni cha BWANA!
 
kwa hali ilivyo wahalifu wengi sasa wata take advantage na hawatakamatwa kwa sababu wanajua kitachohisiwa ni hujuma za kidini tu.
 
Polen ATN but mleta maada bhana....watu wameiba ucku afu unatoa taarifa saa saba mchana! Au una lako jambo,
 
Kwa taarifa za ziada ni kuwa majambazi hayo kabla ya kufanya ujangili wao, waliwateka walinzi na kuwafunga vitambaa vyeusi.
 
Nalichukulia hili kama tukio la kawaida la kiuhalifu ambalo halifungamani na uamsho au machafuko yaliotokea hivi karibuni..
 
I see, kama ni kweli basi tumefika kubaya. Sijui utakuwa bado ni mwendelezo ule ule wa chuki za kidini au kuna jambo lingine hapo tofauti?

Mkuu, mimi nafikili watu wenye nia mbaya na kituo hicho au waharifu tu - wanaweza kutumia mwanya wa hali tete kufanya uharifu, kwa akili zao wanafikili raia wata walahumu Wislaam!!

Huu ni uharifu tu wa kawaida, na mtu awezi kwenda kuiba sehemu yoyote bila ya kuwa na an inside information.
 
Kwa taarifa za ziada ni kuwa majambazi hayo kabla ya kufanya ujangili wao, waliwateka walinzi na kuwafunga vitambaa vyeusi.

Hadithi zile zile za Sheikh muamsho kutekwa nyara! Polisi iwahoji kwa kina WALINZI - wangesema walilishwa madawa ya usingizi tungewaelewa, lakini ili la kufungwa vitambaa vyeusi bila ya kuwaziba midomo kwa plasta - hii aingii akilini hata kidogo.
 
Huo n mwendelezo wa wahuni wa naotumia dini kuhalalisha ujinga wao wala si majambazi ni wale wale wa Mbagala.
 
Kuibiwa na udini vinahusiana vipi? Mbona mna overlook ishu ambazo hamna huhakika nazo? Kama zingekua ni ishu ya udini hamna kificho mob inaenda mchana kweupe na wangechoma/ kuharibu na sio kuiba...Jamani msiwe na chuki dhidi ya waislam kwani apo ni majambazi na sio udini...Itafika mahali mtasema na KABWETERE alivyo wa DO na kupotea mtasema ni mkono wa uislam
 
Back
Top Bottom