kituo cha polisi kukosa eneo la maegesho ya magari yanayo kamatwa alaumie nani?

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
majuzi ilitokea ajali tegeta ambako fiati linalobeba cement kufeli brak na kuvamia makazi ya wafanya biashara nakusababisha ajali iliyogonga gari la mfanyabiashara huyo na ikawa kinga ya lile roli kutofikia duka lililokuwa mbele ya hiyo gari na juu ya hayo yote ni askari wa usalama barabarani kulazimisha jlo gari kwenda kituo cha polisi kidogo cha tegeta ambapo upitaji wake kwa magari makubwa hayo ni taabu na sehemu ya maegesho akuna kwa magari makubwa ndipo ikawa mshike mshike hilo gari kusababisha ajali na kutokea hasara za namna hiyo
 
Back
Top Bottom