Kituo cha polisi chagharimu zaidi ya Sh milioni 160

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Hiki ni kituo kipya cha polisi ambacho kimegharimu kiasi cha fedha kisichopungua Sh milioni 160. Hiki kituo kimejegwa mkoani Mara wilaya ya Serengeti.

attachment.php
 
Attachments

  • polisi.jpg
    polisi.jpg
    326.4 KB · Views: 210
Hahahaha Milioni 160, Kitakuwa na AC,Tiles pia na funiture kutoka Living Room,
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Huo ni ufisadi, jengo lenyewe limejengwa kisanii sanii tu, kama vipi tuandamane kama misri au libya, hata kama tutauwawa poa tu mbona watu wanakufa kila kukicha kwa sababu za ubadhilifu wa masisadi?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Je kina serospecial kwa ajili ya wabunge wanaokosoa serikali? Mbona hakina umeme? huyo anayesoma gazeti la uhuru ni OCD au mtuhumiwa?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Uvivu wa?

In other words ni kua i wish nisingepata hio taarifa though nime i-appreciate...
Hasira nilizo nazo juu ya matendo ya mis management na serkali ni mengi
na makubwa; yet added another depressing information... Thus the uvivu...

Uvivu juu yao kwa analysis, comment, kutafakari na kuchukua hatua...
 
Inakera kwa kweli. Hata useme uchukue hatua sijui utaanzia wapi. CAG ameraise hii issue kwenye ripoti yake, but no body cares. We better go fishing.
 
Nafikiri umenipata niliposema naona uvivu... and because it seems we are in the same boat fishing is an excellent idea... than the above upuuzi!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
In other words ni kua i wish nisingepata hio taarifa though nime i-appreciate...
Hasira nilizo nazo juu ya matendo ya mis management na serkali ni mengi
na makubwa; yet added another depressing information... Thus the uvivu...

Uvivu juu yao kwa analysis, comment, kutafakari na kuchukua hatua...

Naona umekasirika mpaka umeenda kinyume na signature yako. tuliza hasira kwanza otherwise hatutapata samaki hata mmoja.
 
EMT thank you for reminding me... Heat of the moment... ndo maana nikakubali kwenda fishing... a relaxing, carefree activity.

Asha D thanks you for the useful post....lol
 
Back
Top Bottom