Kituo cha Mafuta cha MOIL Mansour Mwanza chaungua Moto

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Ndugu zetu wa Fire wanachapa kazi kuzima kituo cha mafuta kilichopo kwenye Round about ya nyerere Rd na Pamba road kinachoendelea kuungua baada Lori la mafuta kunza kuungua likiwa linapakua mafuta muda huu.

Hawa ndugu zetu wa fire wanatumia maji kuzima mafuta(Petrol na Diesel) wataweza au watumie Foams??
 
taarifa zinasema mtu mmoja amefariki dunia nitawaletea habari zaidi
 
duh, poleni sana huko...... Huyo alikuwa akipakua mafuata wakati engine ya gari iko on nini?
 
Ndugu zetu wa Fire wanachapa kazi kuzima kituo cha mafuta kilichopo kwenye Round about ya nyerere Rd na Pamba road kinachoendelea kuungua baada Lori la mafuta kunza kuungua likiwa linapakua mafuta muda huu.
Ahsante kwa taarifa hii ya awali, ni vema kwa wana JF kuwafahamisha waishio Mwanza kutotumia njia hiyo!
 
Last edited:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom