Kituo cha kuuzia mafuta - victoria

WaTZ kweli wadini,nilijua hii mada imeletwa kwa minajili ya kujadili usalama na kuepusha majanga tunayoyalea kila siku lakini imeingia kuwa isue ya dini...bure kabisa wote mloleta udini hapa. Ndo maana kila siku tunazidi kuwa masikini.
 
Hii nchi yetu sheria hazifanyi kazi.
Acha kudanganya Umma, Sheria mbona zinafanya kazi? Mbona zimeweza kutumika kumuweka Godbless lema ndani? na kutokana na kupitiwa kidogo kama binaadam sheria zikasahaulika kutumika siku UVCCM walipokutana bila kibali cha polisi.
 
Mkuu, ile misikiti ni midogo kwa ajili ya wafanyakazi wa petrol station......... Of-course wanakuwa wa dini hiyohiyo.

Hili la pale Victoria ni kwamba, kuna kanisa.......inawezekana halijasajiliwa au hawajasema makao yao ni pale, lakini habari ndo hiyo.

Usitegemee cha maana kwenye serikali legelege!!

Naungana na mtoa mada kwamba jambo hili c sahihi,lkn kuhusu misikiti iliyomo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta(OILCOM ZOTE,kobil, Lake) ukweli ina accomodate c wafanyakazi pekee bali hata watu wengine jirani na maeneo hayo. So suala ni pana hili
 
Naungana na mtoa mada kwamba jambo hili c sahihi,lkn kuhusu misikiti iliyomo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta(OILCOM ZOTE,kobil, Lake) ukweli ina accomodate c wafanyakazi pekee bali hata watu wengine jirani na maeneo hayo. So suala ni pana hili
kama itadhihirika kuwa si salama hata kwa misikiti, inaweza kutolewa. Idea ya kuweka misikiti ni kwakuwa waislaam tunaswali mara 5 kwa siku na ikiwepo sehemu hizo itakuwa rahisi kwa waumini. Mada au sredi kama hii imewahi kuwepo na mletaji alitaka kujua kwani misikiti inajengwa katika vituo vya mafuta. Kejeli nyingi ziliandikwa ila walipogundua lipo kanisa ndani ya kituo cha mafuta 'likawashuka' lakini pale kitonyama kuna Gym na S'mrkt. Hizo nazo vp ?
 
mi nadhani mtoa mada hakua na nia ya kuleta udini hapa nyie mloanza kusema mbona vituo vingine vina miskiti hebu tizameni hizo akili zenu na mitazamo yenu kama inafikiria vizuri na nna wasi na mitihani mlofanya kama hamjapata zero!!SWALI JINGINE MWAJIBU VINGINE!! JICHUNGUZENI VIZURI!!!

UMENENA VEMA,naona wajumbe wengi wamekimbilia kuchangia kidini dini,kazi kweli kweli!
 
Samahani Wana JF, naomba muuongozo. Kuna kituo cha kuuzia Mafuta pale Victoria (Ali Hassan mwinyi Road) hiki kituo
kinauza mafuta yaan Petrol and Diesel. Lakini siku ya Jumapili kituo hicho kina fungwa na kuwa sehemu ya maubiri,

Hivi kweli sheria na utaratibu wa biashara una ruhusu maubiri kufanyika katika sehemu ambayo ina hatari namna hiyo?

Kumbuka kuwa hiyo sehemu ina weza kutokea milipuko ya moto na pia eneo hilo ni sehemu ya kufanyia service and maintenance
ya magari.

Naomba muongozo

mlipuko ukitokea ndio itakuwa shortcut ya waumini kwenda mbinguni
 
wanaweza kuwa wanasali kwenye ghorofa lakini ukipta jumapili utaona kuwa ile station yote inageuzwa kuwa parking lot. Nadhani kuna janga linasubiri kutokea pale. kama wanaandaa kanisa ni vema wakatafuta mahali salama kwa ajili ya kufanyia ibada wakati wanasubiri kanisa lao likamilike

Je zenye miskiti, maduka na mabank vipi? bora hata pale kuna gari la fire.wapi kituo salama dar?labda kituo cha uhasibu kurasini ndo nafuu lakini saa hivi na wao wanajenga ghorofa.mia
 
For your information kwa wale wasiojua jamaa mmiliki wa victoria fuel vending station anamalizia ujenzi wa fuel station nyingine ipo pale gereji (kituo cha kuelekea ubungo ukitokea buguruni) kuna ghorofa ndo inamalizika na mbele yako ni eneo kubwa la fuel station
 
Florida au madhouse ndani ya nairobi imejengwa juu ya paa la petrol station na watu kibao wanaruka kwanja.
South africa kwenye vituo vya mafuta ndio mabasi na magari ya transit watu wanachimba dawa na misosi. Kikubwa ni kuzingatia kanuni za usalama na moto. India ktk vvituo vya mafuta wanauza na natural gas na watu hawaruhusiwi kabisa kukanyaga driver only.
Hii yote wamatumbi mfunguke ktk thinking beyond the box, kanisa au msikiti inawezekana sio kutaka kusimamia vidole gumba hata issue zinazozungumzika
 
Back
Top Bottom