Kitunguu Swaumu!

Kwa wanaume bwana! Ninachojua mwanaume akiisha mwandaa mwanamke wakiwa kwenye harakati za kuanza yale mambo ya kikubwa akipaka kwenye uume wake ama kwenye kichwa cha C.ndom na kuanza kulimana basi mdada atapata multiple orgasm maana atakuwa anawashwa kwa utamu. Hii nimeambiwa na wahenga.....do not try at home. Sasa sijui kama kuna faida nyingine.

du asante Mkuu, ni elimu mpya kabisa, mi nilidhani Colgate ndio inafanya hivyo, hivi kitunguu swaumu kina Mint enhee?
 
Babuuuuu . . . . Viatu sio tatizo,
Mimi sio Taifa Stars kwamba nakubali kucheza game za kirafiki hata na Palestina
Sasa hapo nakuza kiwango au nashusha??
Mkuu hapo umeniacha hoi kwani Palestina mpira haudundi?

Duuu wengine mmeishiwa mshawasha nini!! Wengine tunataka tupunguze manake kila tukiona vimini mapigo ya moyo yanaenda ndivyo sivyo.
 
SASA JAMANI SI HAKI SAWA KWA WOTE?.....:laugh:

ha ha ha ha ha Seto,mi namchokoza Babu anajua yeye bila wajukuu kama mimi hamna raha ya uzee....apate haki yake nae ndo furaha yangu.:laugh::laugh::laugh:
 
wee mimi ni mzee tu sijawa babu tafadhali!
 
Mzee/Rev Masanilo niwie radhi....na mama mchungaji pia.......lol......duh,kumbe si wanawake tu wasiopenda kukuzwa hadi wanaume.....lol

Michelle acha kumnyima raha baba mchungaji!!!Bado ni yanki!!
 
Kwenye hilo suala hakuna mzee,wote mayanki tu ndo maana biashara ya viagra waga haidorori,na sasa ni vitunguu saumu....kweli nikikuta vitunguu saumu vyangu havipo baba nani atajua kilichomtoa kanga manyoya ......lol......poa Yanki Masanilo.....:laugh::laugh::laugh:
 
The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:

Rev Masanilo (Today)
 
\

Ehhh mama mchungaji ye hashukuriwi ehhhh???:twitch:Haya ntakuletea hivyo vitunguu nione mapigo yake utayapeleka wapi!!!

The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

Rev Masanilo (Today) The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

Rev Masanilo (Today) The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

Rev Masanilo (Today) The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

Rev Masanilo (Today)

Kwenye hilo suala hakuna mzee,wote mayanki tu ndo maana biashara ya viagra waga haidorori,na sasa ni vitunguu saumu....kweli nikikuta vitunguu saumu vyangu havipo baba nani atajua kilichomtoa kanga manyoya ......lol......poa Yanki Masanilo.....:laugh::laugh::laugh:

Yani uzee ni mvi tu!!!
 
Back
Top Bottom