kitunguu nilicholima sasa kipo tayari

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
wadau

niliamu akuuchukua uashaur wenu wa dhati kbs kwa vitendo na leo nawasilisha nilipofikia na changamoto nilizokutana nazo..

nilianza mchakato kwa kwenda Ruaha Mbuyuni mwaka jana october.Sikua na niliemfahamu kule.Nilifanikiwa kufanya mazungumzo na watu kama watatu niliokutana nao pale na bahat mmojawapo alikua tayar kuambatana na mimi kucheki mashamba.Nikalipia heka moja laki 3 ya msimu utakaoanza January yamwaka huu...Kulipia mapema ni muhimu.

Nilianza mchakato mwingine wa mbegu.Nikanunua mbegu.Ikahifadhiwa.Ikaoteshwa january.

Mbegu ilihitaji uangaliz wa karibu ikiwemo kunyeshea na kung'olea..bahat mbaya niliyemweka hakuwa siriaz.Mbegu ikajaa majani.haikufaa tena....nikapoteza laki 4

nikaumiza kichwa nikatafuta mbegu za haraka ambazo zimeishakuota.Nikapata.Nikalima.Nikaandaa majaluba.Nikaotesha.

KIjana niliyemweka hakua siriaz sana.akanitia majangani.

Sasa kitunguu kinaendelea vema na ninatarajia kukivuna mwezi ujao mapema sana............

wadau mliopo hapa nipeni bei za sokoni nimefanya research Buguruni gunia ni kama 120,000...au kama tunaweza fanya biashara niPM..mzigo upo shambani pale ruaha mjini kbs pembeni y amto

natarajia magunia kati ya 30 na 40......kwa hekari,kadirio la chini
 
wewe ni wa kukutafuta kabisa, wewe una ufunguo wa maisha yangu ujue!!
 
haki ya nani umeniwahi
Mungu akipenda muhimu mwingine tutakuwa wote.

Naomba uniambie kwa kuwa shamba la eka moja la vitunguu
nijipange kuwa na shilingi ngapi, daaaaah naonaje wivu jamani.
 
Homie, ukianza kusaka shamba unitonye ili tuunganishe nguvu.Seriously!
 
gmosha48 mikakati ya kusaka shamba nimeanza karibia mwaka mzima sasa unakwenda
pengine itabidi niende huko huko mwenyewe
ili nikafanye hiyo kazi huko huko.

kama vipi uta pm unipe contacts zako.

Homie, ukianza kusaka shamba unitonye ili tuunganishe nguvu.Seriously!
 
Last edited by a moderator:
Hongera.mi last yr niliacha kaz nikaingia kichwakichwa kulima tomato nimepoteza 8ml kwa kutokuwa na elim ya kutosha.
 
Mafanikio kwenye kilimo cha biashara ni usimamizi wako
Kiongozi hii ni general formula kwa investment yoyote, it does not matter how good a business idea is. What matters is the way you execute it. Unaweza ukawa na business ambayo ni common sana, ila ukatoka kwa vile tu the way unavyoikomalia inakufanya uwe outstanding.

Vitunguu vinahitaj very close supervision na ukiweza kila siku angalia progress ya shamba coz wadudu wengi wanapenda kuvishambulia kwa ile succelent nature yake.

Hivyo the only way to get rid na hasara inayoweza kujitokeza ni ww kukeep your eye on em. Kama wategemea kulima kitunguu kwa remote control, ningekushauri hiyo hela itaftie kazi nyingine.
 
Back
Top Bottom