Kituko Wizara ya Afya, Blandina Nyoni haivi na Lucy Nkya, Hawasalimiani hata wakikutana kwenye kordo

Hii thread inaonesha wazi wazi kwanini Blandina Nyoni anapikiwa majungu! Huyu mama anaonekana ni muadilifu na anafuata kanuni za kazi zilizowekwa, kwani hapa tunaambiwa naibu waziri anahamishiwa kwenye wizara mpya na hapo anapangiwa dereva wa kumuendesha aliye kuwa anamuendesha mtangulizi wake lakini yeye anataka aletewe nduguye aliyekuwa anamuendesha wizara aliyotoka!! Taratibu za kazi haziruhusu watumishi kuhama hama na madereva /masecretary wao na wale wanaofanya hivyo ,hufanya hivyo ili kuficha uovu wao. Sasa kwa kuzuia maovu Blandina Nyoni kakosea nini? Halafu uongo na uzushi mwingine, mtasemaje kampuni ya Mariedo ni ya BlandinaNnyoni wakati Mariedo mwenyewe yupo na ndie anayeiendesha hiyo kampuni; haya ni majungu yasiyo mbele wala nyuma!! Mtu mwenye akili timamu hawezi kuamini upuuzi huu.
Mkuu umenena vyema watu hapa tunataka kuaminishwa kuwa Mama Blandinda Nyoni ni fisadi lakini Lucy Nkya au Shamsha ni wazalendo watanzania safi. Hii siyo kweli bali ni mchezo mchafu unaoitwa "character assassination" Jamii including JF inalazimishwa iamini kuwa huyu mtu ni mbaya. Lucy Nkya si atakuwa ni kaskazini? na hapa mtu amesema Blandina Nyoni ni Kusini? Hawa jamaa wa Kaskazini ni wagumu sana kufanya nao kazi kutokana na uzoefu wangu wanapendeleana, wanamajivuno, wanataka kuwa kwenye post za juu kila walipo na wanadharau watu wengine na ndo vinara wa corruption, wizi na uhujumu uchumi. Ni wanafiki in public wanasema usawa na haki lakini underground ni makamanda wa corruption, nepotism and injustice
 
Huyu mama anapenda kweli kusifiwa amependeza tatizo watumishi wengi hawajui kunyenyekea ikiwemo na huyo lucy nkya kuna msela wangu alimsifia huyo maza akampa shavu la kufa mtu kazini jamaa saa hz ni full bata!!

Sasa huoni kama hiyo ni Rushwa? i.e Matumizi mabaya ya Ofisi ya Umma!
 
Si wanawake wote..yeye mwenyewe tu ana hulka mbaya....nina jirani yangu yuko huko wizarani nae anamlalamikia sana huyo mama amejaa kiburi na mpenda pesa tender zote hata ndogo anaitaka yeye

Sasa hivi pale Wizara ya Afya hamna kabisa utaratibu rasmi wa Manunuzi. Hakuna Procurement Officer wa kila idara tena? Manunuzi yote anayasimamia yeye akisaidiana na Ndugu yake anaitwa Donatha Koko!
 
Hii thread inaonesha wazi wazi kwanini Blandina Nyoni anapikiwa majungu! Huyu mama anaonekana ni muadilifu na anafuata kanuni za kazi zilizowekwa, kwani hapa tunaambiwa naibu waziri anahamishiwa kwenye wizara mpya na hapo anapangiwa dereva wa kumuendesha aliye kuwa anamuendesha mtangulizi wake lakini yeye anataka aletewe nduguye aliyekuwa anamuendesha wizara aliyotoka!! Taratibu za kazi haziruhusu watumishi kuhama hama na madereva /masecretary wao na wale wanaofanya hivyo ,hufanya hivyo ili kuficha uovu wao. Sasa kwa kuzuia maovu Blandina Nyoni kakosea nini? Halafu uongo na uzushi mwingine, mtasemaje kampuni ya Mariedo ni ya BlandinaNnyoni wakati Mariedo mwenyewe yupo na ndie anayeiendesha hiyo kampuni; haya ni majungu yasiyo mbele wala nyuma!! Mtu mwenye akili timamu hawezi kuamini upuuzi huu.

Wewe punguza spidi tukupe data. Kama taratibu haziruhusu kuhama na madereva mbona yeye Brandina Nyoni alihama na Dereva wake kutoka Hazina hadi Maliasili then kutoka Maliasili hadi Afya? Kuhusu kwamba Mwenye Mariedo ndie anaeiendesha huu ni ushaidi wa ujinga ulionao. Rostam Aziz anamiliki Habari Cooperation na Vodacom kabla hajaizua. Lakini kwenye document za kusajili pamoja na shareholding za hayo makampuni huwezi kuona jina lake. Kuna kitu kinaitwa 'Power of Attoney' kwenye sheria, ndicho Vigogo wanakitumia kujificha kwenye umiliki wa Makampuni!

 
Inaelekea huyu mama ni jeuri sana na anafanya anachokitaka bila kusimamishwa. Kuna habari pia kwamba alikosana na meneja wa National Malaria Control Program (NMCP) akamwondoa mara moja na kumtupa Kagera kuwa RMO. Huyo jamaa ndiye aliyeanzisha NMCP na ndiye aliyekuja na mikakati mbali mbali ya kuondoa/kupunguza Malaria Tanzania ambayo sasa rais wa nchi ndiye anapewa tuzo za mafanikio. Inaelekea hata waziri wa wizara mwenyewe anamgwaya huyu mama mara akishaamua kutekeleza mambo yake. Kwani hizi wirara hazina Miongozo na sheria? Anapata wapi kiburi kingi hivyo??
 
Nyie maosema kuwa matatizo ya MamaNyoni ni kwa kuwa ni mwanamke, jaribuni kuwa wakweli zaidi, hakuna kiongozi anayekosa haters, wala hakuna asiekuwa na udhaifu, kama kuna ushahidi amevunja sheria, then tusaidiane kupeleka mashitaka kwa mabosi wake, ila kumtetea mtu kwa kuwa tu ni mwanaume au mwanamke au katoka kusini au kaskazini ni kukosa uelekeo kabisa.
Mie wakati anapelekwa pale watu walikuwa hawana raha kabisa kwani alikuwa na sifa ya kuwa strict, kutomumunya maneno na watu walikosa raha sana kwani wizara ilikuwa imeoza kabisa. Hadi sasa anahaingaika ila nahisi itakuwa kazi ngumu kuliko alivyodhani.

Go mama Nyoni, Go usijali maneno, ila kama kuna jambo dogo la ukweli unadhani unaweza kufanyia kazi basi lichukue lakini kwa style yako hio hio.
 
ujue watu wengine wanaforce uongoz ndo kama uyo mama
na huwez kuwa kiburi na kuwadharau wakubwa wko wa kazi
kama huna mkubwa zaidi ya wakubwa wako anaekulinda
 
yule mama mpuuzi sana.......hana lolote mwizi mkubwa na mpenda majungu...amejaa kiburi sana
Niliambiwa KM mstaafu Philemon Luhanjo ndiye aliyekuwa anam-beba beba sna na kumpa kibri kama cha punda.
 
Mkuu umenena vyema watu hapa tunataka kuaminishwa kuwa Mama Blandinda Nyoni ni fisadi lakini Lucy Nkya au Shamsha ni wazalendo watanzania safi. Hii siyo kweli bali ni mchezo mchafu unaoitwa "character assassination"
Jamii including JF inalazimishwa iamini kuwa huyu mtu ni mbaya. Lucy Nkya si atakuwa ni kaskazini? na hapa mtu amesema Blandina Nyoni ni Kusini? Hawa jamaa wa Kaskazini ni wagumu sana kufanya nao kazi kutokana na uzoefu wangu wanapendeleana, wanamajivuno, wanataka kuwa kwenye post za juu kila walipo na wanadharau watu wengine na ndo vinara wa corruption, wizi na uhujumu uchumi. Ni wanafiki in public wanasema usawa na haki lakini underground ni makamanda wa corruption, nepotism and injustice
Hapa umepotosha..rudi kwenye topic..Ukijaribu kuongalia kwa makini hapa kuna wabaya wengi wa BN..na wanajaribu kutafuta njia zote za kumchafua..Kwa upande wangu huyu Mama ni mtendaji mzuri sana. Anapenda uwajibikaji kwa wale ambao hawajazoea hivyo watamwona ni mbaya, natamani hata engekuwa Waziri wetu wa Afya au PM kabisa..big up madam BN
 
ni vizuri kwa mtoa mada kutupa evidence kwamba mama nyoni na dr lucy hawaongei kabla ya sisi kuaza kutoa tuhuma zisizo na uhakika wowote.
 
hiyo catering inaitwaje, haina jina?. ni uongo wa saa sita mchana kwa mtu kusema wafanyakazi wote wa serikali wanapokwenda dodoma bungeni wanakula chakula kwenye catering, kila mfanyakazi hupewa pesa zake hakuna anayempangia ale wapi, alale hotel ipi, sasa huyu jamaa anasema catering ya huyu mama ndiyo ilalisha dodoma? (ni uongo + majungu + personal interest =distraction of someone personality).
 
ni vizuri kuwa huru kutoa mawazo yetu kama tunavyofanya hapa jf, angalizo tuepuke kuwa wakwanza kuleta ukabila au kutharau jimsia nyingine , kama kusema hiki kimama ni kabila gani, hapa tanzania hutuishi kwa makabila, ukijua kabila lake then?
 
Ndugu zangu hii taarifa nimeipata kutoka kwa wandani wangu aliopo pale Wizara ya Afya. Kwamba Katibu Mkuu wa Wizara Bi Brandina Nyoni haivi na Naibu Waziri wake, Bi Lucy Nkya. Na inadaiwa kuwa hata wakikutana kwenye kordo huwa hawasalimiani. Kinachowazungumzisha ni Madokezo tu.

Taarifa inasema kwamba ugomvi wao ulitokana na kitendo cha Katibu Mkuu kutaka kumlazimishia kumpa Dereva (Elias Mkumbo) ambae ni Informer wake. Mama Nkya alipotonywa na watumishi wa pale akamkataa huyo Dereva na ali comand alitewe dereva aliyekuwa nae kutoka Wizara aliyokuwepo kabla kama sivyo abadilishiwe. Tangu wakati huo Wakuu hawa wa Wizara wamesusiana (Kama wanavyosema watu wa Pwani).

Brandina Nyoni amekumbwa na matukio mengi ya kususiana na Wakubwa wenzako toka alipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo alikuwa haivi na hasalimiani na Waziri wake Bi Shamsi Mwangunga. Alipohamishiwa Afya mwishoni mwa 2008 pia akagombana na Naibu Waziri wa wakati huo Bi Aisha Kigoda na hadi anaondoka Wizarani hapo bado walikuwa hawaivi. Sijui huyu Mama ni Mtu gani? Maana hata watumishi wake kuazia alipokuwa Hazina, Maliasili na Sasa Afya wamekuwa wamkimkataa kutokana na Uongozi wake Mbovu wa kutojali maslahi halali ya watumishi wake mfano malipo ya likizo, uhamisho, extra duty allowances, etc!

hivi huyu Mama ana mume maana tabia mbofu wakati mwingine husababishwa na ukosefu wa huduma za kindoa-mwenye updates anipe tafadhali nimshughulikie
 
jamani mama nyoni ni jeuri na mama nkya jeuri alafu nina uzoefu katibu mkuu akiwa mwanamke na na waziri mwanamke ni tatizo..mana unakuta wote walishagongwa na luanjo niliwahi kupata taarifa kuwa Ruth mollel aliyekuwa katibu mkuu makamu wa rais na Batilda burian aliyekuwa waziri wa mazingira walikuwa nao wanatunishiana misuli sio kawaida.
 
zamani mtu alipokuwa na fedha alipokosa pa kuweka/kutunza/kuhifadhi alimkabidhi mama(mwanamke) yeyote anayemjua ili amtunzie, siku hizi hakuna mwanaume aliye tayari kufany hivyo kutokana na wanawake kubadilika na kuwa very corrupt kuliko wanaume. Tena hawana hata huruma pale wanapoamua kufanya hivyo

Jaman mnamwomba JK amwondoe wakati na yeye ni mjasiria mali ambaye nasikia kuna kampuni ameanzisha itakuwa inafanya kaz zake katika Bonde la Rufiji. Kama hata JK ni mfanyabiashara kama nilivyosikia je unadhani atamtoa kkweli
 
jamani leteni data zaidi lkn tusiishie hapo ikibidi tumpatie data Msema kweli au CDM ili wamwage orodha ya majina mapya ya ufisadi
 
Aliyemfikisha hapo alipo ni Lowasa sio Luhanjo. Ni majirani kule Masaki alifanya "kazi nzuri" alipokuwa Mhasibu Mkuu wa serikali.
 
Guess she's a no nonsense lady,mara nyingi mtu wa namna hii hapendwi!
 
Back
Top Bottom