Kituko kingine cha Pinda

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,214
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari kupitia Ch10, nikamuona waziri mkuu wetu Pinda eti anaiomba ofisi ya CAG itoe mapendekezo ya namna ya kuwabana wanaofuja pesa za serikali.

Hiki nimeona ni muendelezo wa vituko vya waziri mkuu wetu Pinda, hivi kweli hakuna sheria za kuwabana hawa wanaofuja pesa za serikali mpaka CAG atoe mapendekezo?

Sasa naamini waziri mkuu wetu anahitaji sala maalum, naona gamba limefunika na kucompress brain yake, Mungu amsaidie.

Sijui wanajamvi mnaionaje kauli hii.
 
Kwani hukumjua kwamba ni crying baby?
 
Mtu asiyejua Mawaziri wake wanaishi wapi, ataweza kujua miongozo ya kudhibiti wafujaji wa fedha za uma?
 
Aliulizwa swali na Zito kuhusiana na report ya CAG akasema hajaisoma na wasaidizi wake walikuwa bado wanaipitia. Nadhani baada ya kuisoma anatakiwa atoe jibu bungeni. Naona anataka kupotezea hoja ya Zito kuhusu pesa ya stimulus package. Kwa maono yangu, atakuja na jibu kwamba "nimeiomba offisi ya CAG ilete mapendekezo ya namna ya kuwabana"
 
kweli nchi inapitia kwenye hali ngumu saaana, pinda si mtoto wa mkulima bali ni mtoto wa mafisadi, pm muoga ka kunguru analialia tuuuuu, jamani tuikomboe hii nchi otherwise tutaangamia milele.
 
Ni nani aliyetoa wazo la adhabu wa wezi wa KUKU? Waziri mkuu anaomba ushauri dhidi ya wezi? Kwa nini basi wanajenga mageraza?
What is wrong with this man?
 
UKISHANGAA YA FIRAUNI, BASI SUBIRI UYAONE YA BONGO!!!
Hatuwezi kuvumilia usanii huu wa kugeuza wabongo kama misikule hadi 2015 - vinginevyo tunaangamiza kizazi kizima hivi hivi!!!
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari kupitia Ch10, nikamuona waziri mkuu wetu Pinda eti anaiomba ofisi ya CAG itoe mapendekezo ya namna ya kuwabana wanaofuja pesa za serikali.

Hiki nimeona ni muendelezo wa vituko vya waziri mkuu wetu Pinda, hivi kweli hakuna sheria za kuwabana hawa wanaofuja pesa za serikali mpaka CAG atoe mapendekezo?

Sasa naamini waziri mkuu wetu anahitaji sala maalum, naona gamba limefunika na kucompress brain yake, Mungu amsaidie.

Sijui wanajamvi mnaionaje kauli hii.

Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
 
kama nchi haina rais, unategemea kuna waziri mkuu?
 
problem apo ni system aliyoikuta pinda kabla hajawa mtumwa wao. angalia sasa hajui kwa nini kijijini kwake ni masikini,hajui kwamba mawaziri wanalala hotelini so usishangae kwa nini hajui jinsi ya kuwashughulikia wafujaji wa fedha za umma. nilisikia alinunuliwa shangingi (yale magari yao) akalikataa na kudai kwamba anafuja mali za umma.sasa kwa nini hataki kuwa mzalendo na kuwawajibisha hao mafisadi.

it means yeye anamuwakilisha mkwer kiakili hawajui mafisadi wawabane vipi thats y kila kukicha wanalialia tu.
 
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
Toka huko mzee usipotoshed watu kati hili!CAG hana mandate ya kupendekeza hatua za kuchukuliwa dhidi ya mwizi wa fedha za walipa kodi! Kazi hii ni ya serikali kupitia ofisi yake ya mwendesha mashitaka pamoja na PCCB.CAG anaweza kutoa mapendekezo yanayohusiana na namna ya kuzuia wizi usitokee tena siyo baada ya wizi kutokea. Pinda anasukumizia wenzake wakati yeye ndo mtendaji mkuu. Woga wa huyu mzee unamnyima uwezo wa kuwa kiongozi. Nadhani ****** kama hatambadilisha huyu jamaa basi serikali itaishia chaichai tu.
 
si hawa hawa viongozi wa ngazi za juu serikalini waliopewa semina elekezi na Mh. wetu sana?
 
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
Duh, masikini JF - jukwaa linadhalilishwa hivi hivi mbele ya macho yetu. Yaani kinachosubiriwa ni kibali tu cha CAG ili wafujaji wote waweze kushughulikiwa ! Kama CAG akitoa tamko tu sheria zinaweza kubadilishwa na ufujaji ukawa historia - rocket science hii, Pinda mtoto wa mkulima kweli kiboko ! Suluhisho dogo kama hili limemchukua Pinda miaka yote hii na machozi karibu pipa zima, looo !
 
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
Usituzingue bwana, yani report ya CAG inaonyesha kwamba pesa zimeibiwa halafu waziri mkuu anaomba ushauri tena wa kuwabana? Sasa tuna mahakama, magereza na polisi kwaajili ya wezi wa kuku na wanamageuzi au? Kwakifupi mwizi wa mali ya umma anapaswa kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria CAG kazi yake ni kushauri kuondoa mianya ya wizi.
 
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
wewe ndo unakurupuka na haraka zako za kutaka kuwatetea mafisadi. Kazi ya CAG ni kupendekeza kuboresha mifumo ya kuzuia mianya ya upotevu wa fedha na siyo kupendekeza adhabu. Ninavyomjua utouh, hilo atalitoa nje kiaina.
 
Back
Top Bottom