Kitu tindikaliii.....duh!!

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
wapendwaa hii imetokea kwenye campenii igungaa,wiki km mbili,jamaa anaitwa musa tesha...ni mpigaa debe au kelelee wa CCM,alijikuta hoi bin taaban hosptali baada ya kumwagiwaa tindikaliii aka acid na mtu asiejulikana,wakati akimnadi mgombea wake wa CCM kwa mbwenbwee.hadi leo haijajulikana nanii au ni chamaa gani???naomba kuwakilisha MAJERUHI-TINDIKALI-IGUNGA-3.jpg MAJERUHI-TINDIKALI-IGUNGA-2.jpg MAJERUHI-TINDIKALI-IGUNGA.jpg
 
Jamani sijui kwanini binadamu wengine wanakua na roho mbaya kiasi kicho mpaka unataka kumua mwenzio loh! pole kaka mwenyezi mungu atakulinda hili na kila uadui...
 
Siasa hii italipeleka taifa letu pabaya tusipokuwa makini.
 
Ukipewa Kandarasi ya Ovyo na mtu mwovu malipo yake huwa ni maovu! Huwezi vuna Zabibu kwenye Mchongoma.
 
Kazi ya Nape hiyo...............posho kiduchu kazi ngumu.............na tindikali juu,NYIE VIJANA WA NAPE MSIAMINIANE TENA si mmemuona mwenzenu alivyo sasa.
 
Nape mbaya kweli kweli kamuunguza mtoto wa watu kaingia mitini Igunga anaiona kituo cha polisi. Ila mwisho wa ubaya ni aibu, kwani huyu muathirika alikuwa anafanya kazi chafu na yeye kawazidi kete wenziwe nao wakamfanyia kweli.Aliyeuza cheni feki kapewa fedha bandia patamu hapo.
 
Najisikia huzuni sana kwa hili, Tatizo la watu wa vijijini hawakomi kutumiwa na CCM kama condom, raha apate mwingine uchafu uguse mwingine.
 
Jamaa anawajua waliomfanyia unyama, na alishawataja. We subiri kampeni ziishe utawasikia ubaoni. Waliommwagia acid walijua kafa, kumbe bado coz walimpiga sana ndo wakammwagia. Jamaa yupo kcmc ccm inamgharamia matibabu.
 
Inasikitisha sana, lakini hata ukipewa pesa angalia upepo unakwendaje, sasa hivi ccm haibebeki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom