Kitu kilikata network nini?

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Hapa vipi? mtambo ulikua down, tanesco wamekata umeme? Naona wataalam wanakuna maskio.

attachment.php
 
Attachments

  • ONE.JPG
    ONE.JPG
    49 KB · Views: 636
  • Thanks
Reactions: Iza
Huyo jamaa hapo nyuma ya mkuu wa kaya mwenye kaunda suti ya kahawia/brown ni nani? Maana mdau huyo kila trip ya mkuu wa kaya namuona yupo mitaa hiyo hachezi mbali au ndo wale wale UWT??
 
Huyo jamaa hapo nyuma ya mkuu wa kaya mwenye kaunda suti ya kahawia/brown ni nani? Maana mdau huyo kila trip ya mkuu wa kaya namuona yupo mitaa hiyo hachezi mbali au ndo wale wale UWT??

mganga wa mkuu
 
No power problem, look at them carefully, wanasikiliza some signals!
 
Its called "casual jeans suit", highly fashionable especially when out doors and not too formal.

The president of a nation, on official visits, is supposed to be formal.

Kama humjui JK ukiambiwa onyesha nani rais na nani injinia hapa unaweza kusema huyo jamaa pembeni ndiye rais na JK kiinjinia kicheck bobu.
 
Kiranga naomba kutofautina na wewe

Haya mambo ya foramlities za mavazi nani anaweka standard. ? Ukiwauliza wabunge au bunge kwa Nini suti ni vazi rasmi wakati Tanzania ni nchi ya Joto............... binafsi sioni logic zaidi ya copy and paste bila kufikiria .

Hata kama copy and paste kama una picha au kumbuumbu za Alipokuja Rais G W Bush basi tazama matuio yake naz iara zake. Utaona hata hao tunaowaiga wanaweza kuwa kwenye official formal visit na bado wakavaa "casual".....

Rais anakwenda kwenye official visit mkoani kwenye kampeni ya kupanda miti yuko na misuti... .Ndio mwanzo wa kuwekewa mikeka............
 
Kama unataka kuvaa kiafrika, to be fair and consistent, nenda kichifu chifu au kifalme kama kina Mswati.

Ukishakuwa na Republic tayari ushakubali western standards na kuanza kuzikubali nusunusu (Republic, President, parliamentary democracy etc) na kukubali kuvaa suti mara nyingine na mara nyingine kuvaa vikoti vya jeans ambavyo ni casual wear katika official visit kuna betray an inconsistency tipical of people lacking presidential gravita.

That goes for George Bush too.

Rais akienda kupanda miti hata kaptula ruksa, lakini hapo anapanda miti?

Hapo huwezi kuongelea swala la joto kwa sababu hilo koti la jeans ndilo lenye joto zaidi kuliko summer suits.
 
Akitoka hapo alikuwa na ki-date cha kumtoa Salma at the movies...maana hata si dinner!
 
Akitoka hapo alikuwa na ki-date cha kumtoa Salma at the movies...maana hata si dinner!

Ushaambiwa "kitu kilikata networ" umeme hamna, movie ya kuendeshwa kwa mkono na betri la gari nini?
 
Movie ya projector beach kwa betri ya gari. Aaawww how romantic!

Hahaha,

Tunarudi kule kule, kumpa kura Kikwete kwa sababu "handsome". Hahahahaha.

Mshua ana capitalize kwenye fluff , strong point yake!
 
Hahaha,

Tunarudi kule kule, kumpa kura Kikwete kwa sababu "handsome". Hahahahaha.

Mshua ana capitalize kwenye fluff , strong point yake!

Capitalizing in fluff is not helping his case. Even his fanatic fans; the best they can say is "he was a very bad president but looked gorgeous on stamps"
 
Back
Top Bottom